Siipendi hii tabia

Siipendi hii tabia

Tatizo lilianzia hapa, ndio maana kwa njaa zake akasusa hadi msosi akaona hatashiba wakila wawili

Kwa anayejua dating hapo ndio ilikuwa wakati wa kuonyeshana mahaba mkila wawili sahani moja
Aminia mkuu..... Hivi a gentleman utoke for date au hio dinner huna ela haiwezkan kwangu ni big no...... Dem njaa Hilo kakaa aaah na nimeamini mwanamk haridhiki sio sex, chakula, unachompa haoni km kinamtosheleza
 
Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.

Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.

Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.

Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa .

Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.

Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Dah mwamba huyo hapo sasa .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Sasa nyie badala ya kudate Wanaume wanaojielewa mnaenda kudate na vivulana eti kisa tu vina vijisenti vya kuwahudumia.

Mkishazinguliwa huko mnakimbia humu kualalamika.Kwa hiyo tukusaidieje?
 
Niliwahi pata kasheshe ya kufa mtu. Nilikuwa bado mgeni mgeni. Profesa wangu alikuja akanikuta nimekaa sina hili wala lile akaniambia SYB let's go grab some lunch. Sasa nikafikiri kuwa kwa vile yeye ndo kaniambia basi atakwenda kulipa bila shaka.

Tumepiga msosi tumemaliza namwona huyoo amekwenda akalipa bili yake huyoo akatoka nje kunisubirisha. Na mfukoni sikuwa hata na wallet. Kikawa kimbembe!

Ndiyo nikajifunza utamaduni wao. Hata binti ukimtoa out anakuja amejiandaa kulipa nusu labda uwe muungwana umkataze. Na hii inasaidia sana mtu kutoagiza wines ghali hizi za $100+ kisa tu kaona kuna mtu anamlipia. Nilipenda sana utamaduni wao huo.

Sisi huku ukimpata mtu limbukeni ambaye hana exposure ukampeleka sehemu ya maana basi anaona leo ndiyo kapata bahati. Ataagiza vitu ghali ambavyo angekuwa yeye ndo analipa asingevigusa.

Ila kama uko vizuri na ukamhakikishia mtu kuwa aagize cho chote, siyo vizuri tena kuja kumgeuka kama jamaa yetu alivyofanya. Na mabinti wenye uzoefu atamwacha kwanza jamaa aagize na yeye atachukua hints kutoka pale. Na kama wamezoeana anaweza tu kuuliza point blank kwamba una uhakika naweza kuagiza cho chote?

Mimi huyu tulip tuliongea na akasema everything is on me. Na sio kwamba mm sikubeba hela nilikua nayo ya my budget na nyingine kwenye simu ila sio ya kumnunulia yeye
 
Mwanaume kama huyo futa namba hakufai kabisa.

Hajiamini, hana uwezo wa kuishi na wewe.pia hongera we ni mwanamke unayejielewa.

Next few wks nitakuja na series ya kuwafunda wanaume jinsi ya kuandaa mtoko wenye mafanikio kwa Mwanamke unayekutana naye kwa mara ya kwanza

Tutajadiliana vifungu vifuatavyo

1. Jinsi ya kupanga kukutana
2. Namna ya kujiandaa kukutana
3. Namna ya kuvaa siku hiyo( hakuna haja ya gharama za nguo)
4. Jinsi ya kutembea
5. Tabia na mienendo za kuwa nazo au ,a kuepuka unapokuwa n mwanamke kwa mara ya kwanza.

Ktk uzi wa Mwanadada huyu ametaja mambo mazito ambayo braza kakosea sana na imepelekea Mwanadada kumuona ni mtu wa hovyo na hafai kuwa Mwanaume wake.

Stay tuned.

4.jinsi ya kutembea
Uko serious kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom