Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,929
🤣🤣Na mikuchaa hii wadada wanaek inanikeraa...... Sjui angeosha jee!!
Kucha si urembo, kuna wenzio wanazipenda
🤣🤣Na mikuchaa hii wadada wanaek inanikeraa...... Sjui angeosha jee!!
Mwanaume kama huyo futa namba hakufai kabisa.
Hajiamini, hana uwezo wa kuishi na wewe.pia hongera we ni mwanamke unayejielewa.
Next few wks nitakuja na series ya kuwafunda wanaume jinsi ya kuandaa mtoko wenye mafanikio kwa Mwanamke unayekutana naye kwa mara ya kwanza
Tutajadiliana vifungu vifuatavyo
1. Jinsi ya kupanga kukutana
2. Namna ya kujiandaa kukutana
3. Namna ya kuvaa siku hiyo( hakuna haja ya gharama za nguo)
4. Jinsi ya kutembea
5. Tabia na mienendo za kuwa nazo au ,a kuepuka unapokuwa n mwanamke kwa mara ya kwanza.
Ktk uzi wa Mwanadada huyu ametaja mambo mazito ambayo braza kakosea sana na imepelekea Mwanadada kumuona ni mtu wa hovyo na hafai kuwa Mwanaume wake.
Stay tuned.

vijana tuna mambo mengi ya ajabuAangalie nisimpge paipuuUjifunze yote hayo,utoe na pesa yako bdo huyo mwanamke atakuja kulalamika unazingua![]()

Hahahaha............umenikumbusha mbali Mkuu na hiyo stori, maana ni tukio la mwaka 47 iliyopita. Sasa tumezeeka 🤗Hivi yule dr. wa Tabora vipi mkuu.
Ukweli ni kwamba mabinto wanataka wazee, wewe watumikie tu mkuu.
Tugawane majukumu...wewe watumikie....wengine tumtumikie Kristo😂😂😂
Mtaani tunaiwaita tutumuJamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai
Napenda mwanamk mrembo..... Ukianzia kucha Ila ziwe fupii..... Ttzzo mna kucha km majini ya kigamboni
Kucha si urembo, kuna wenzio wanazipenda
Hii sasa ndiyo hoja ya msingiInaonekana hilo jambo limekupa hadi Stress kufanya ukose na Usingizi, maana hadi kuandika mada hii saa 12:44 AM sio mchezo.
Wakati mwingine, Mwanaume anaweza kukupima kama u-mchoyo kwa vitu kama hivyo.
Kama yeye aliyegharamia kununua hicho chakula unataka kumnyima, Vipi ikitokea amekuoa.
Ndugu zake kweli unaweza kuwaandalia chakula, ama utaishia kuwafukuza?
Kama unaanza Uchoyo mkiwa kwenye hatua za awali hivi, mkiingia kwenye ndoa si hautataka utembelewe hata na ndugu mmoja wa upande wa Mume?
Mwanaume unamfunda nini zaidi ya kuwa na pesa tu?Mwanaume kama huyo futa namba hakufai kabisa.
Hajiamini, hana uwezo wa kuishi na wewe.pia hongera we ni mwanamke unayejielewa.
Next few wks nitakuja na series ya kuwafunda wanaume jinsi ya kuandaa mtoko wenye mafanikio kwa Mwanamke unayekutana naye kwa mara ya kwanza
Tutajadiliana vifungu vifuatavyo
1. Jinsi ya kupanga kukutana
2. Namna ya kujiandaa kukutana
3. Namna ya kuvaa siku hiyo( hakuna haja ya gharama za nguo)
4. Jinsi ya kutembea
5. Tabia na mienendo za kuwa nazo au ,a kuepuka unapokuwa n mwanamke kwa mara ya kwanza.
Ktk uzi wa Mwanadada huyu ametaja mambo mazito ambayo braza kakosea sana na imepelekea Mwanadada kumuona ni mtu wa hovyo na hafai kuwa Mwanaume wake.
Stay tuned.
Grahams unajua ni jina la mtumishi mkubwa Us.Hahahaha............umenikumbusha mbali Mkuu na hiyo stori, maana ni tukio la mwaka 47 iliyopita. Sasa tumezeeka 🤗
Mkuu, we endelea kuwapaka mafuta tu kama watu wenyewe ndio hawa.
Agiza na asali kabisa![]()
Mpk majini ushatoka nayo unayajua 🤣🤣Napenda mwanamk mrembo..... Ukianzia kucha Ila ziwe fupii..... Ttzzo mna kucha km majini ya kigamboni
Huyo jamaa kituko, halafu kapuku huwa na maelezo maareefu...ujue ni pangu pakavu🤣🤣🤣Mwanaume unamfunda nini zaidi ya kuwa na pesa tu?
Huyu binti ametegwa ili kuweza kujua kama ni Wife-material ama laa.Hii sasa ndiyo hoja ya msingi
Eh kwani alioombwaNa nyie mjifunze kujitegemea
Hizo dharau ni nzuri sana😂Unaweza ukagharamia na mbususu usipewe wala nini, kuna wakati tunawanunulia wanachotaka halafu huombi mechi.
Sasa mtu asiyeridhika unampeleka wapiHuyu binti ametegwa ili kuweza kujua kama ni Wife-material ama laa.
Kwa hilo alilolifanya, amekuwa disqualified
IpiMmeona jamani jinsi BIDHAA inavyouzwa kwa Ghali?
Hapa MUUZAJI wa BIDHAA amekasirika amekutana na MNUNUAJI ambae anauchungu na Pesa yake.
Ila Muuzaji wa BIDHAA hana CUSTOMER care nzuri alipaswa aitunze hiyo number just incase next time aweze KUVUNA/KUPUNUSA fedha za Mteja.
Ningekuona wa maana kama bill ilivyoletwa ungetowa pochi na kulipa wewe.Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.
Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.
Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa.
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Umefita namba ya mtu wakati chakula chake ulikulaYani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.