Siipendi hii tabia

Sisy unaagiza ambacho hata mwenyewe unaweza kujilipia. Wanaume wa kibongo hawachelewi kukimbia bill ooh!! Sio wa kuwaamini hata kidogo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Niko vizuri sana kwenye kipande hicho siendi out kiboya,unaweza jikuta unaosheshwa vyombo....Sipendi ujinga🀣🀣🀣🀣
 
Ndio naagiza ya laki kabisa kukuza brand yangu!!🀣🀣🀣
Unataka nionekane wa slay queen wa mchongo, wee vipi bana 🀣🀣
🀣Shenz type... Siku ingine tutatokomea kusikojulikana!!! Agiza kisteka sio unakurupuka tu πŸ˜€
 
Niko vizuri sana kwenye kipande hicho siendi out kiboya,unaweza jikuta unaosheshwa vyombo....Sipendi ujinga🀣🀣🀣🀣
Siku hizi wanakuvua wig nasikia 🀣🀣🀣

Me kwakweli hiz out za wamatumbi lazima nibebe cash na tembo card incase tukizinguana nisiaibike.
Km Sina pesa siendi, wamatumbi hawajawahi kueleweka
 
Uko sawa....naweza kushare hata bill...kisanga ni pale humpendi Mwana ni mwendo wa pizza ya 40,kuku ya 24,Wine 35.
🀣 Muhuni akitoka hapo anaugulia rohoni tu! Sema siku ukiingia kwenye 18 sasa lazma ajiunge kama mboga, tangawizi+kipande cha muhogo+panadol+congo dust yani mpaka usemeee 🀣🀣🀣
 
Hiyo 30K alirudisha au ulitoa sadaka ya kuteketeza Kama Ibrahim kwa mwanae Isaka
 
Nyooo!! 🀣🀣🀣
Yaani namwambia mhudumu chukua pesa kabisa, ndio ulete hiko kinywaji.
Huyu mmatumbi anaweza kukimbia 🀣
Hahah hamna hio huwa tuna sense tu.πŸ˜€ Utashangaa tu umebakia mwenyewe na bill zako za kulipa. Maana Menu ikija ukaona muhun kaagiza maji jua mbombo ngafu.
 
🀣 We tunaenda kula pweza tu mtaani na miguu ya kuku 🀣 hamna namna ingine
 
🀣 Huo ndio uungwana, yani we manz ilikuwa kidogo uzaliwe Norway sijui baba mkwe alifeli wapi yani. Tabia za kizungu mwili wa kiafirika πŸ˜€
🀣🀣🀣🀣Acha tu, ukimpenda mwenzio utamuonea huruma....unaona mwanaume wa watu kapewa bill Hadi sura inabadilika,sio poa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wala sio ubahili, unakuta pia hakua vizuri mfukoni. Na nyie bila kuwajaza kuwa mfukoni tupo vizuri huwa hamkubali

Sema mwamba kanichekesha sana, hizo unatakiwa uwe umejipanga muda sio unakurupuka tu

Sasa km mfuko haueleweki si angegoma kutoka Mxxiew!!
Kuchoreshana tu!! Wewe mnashare vipi plate ya msosi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…