Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 890
- 2,203
- Thread starter
-
- #341
Sasa kama umeshaona hayo madhaifu yake si ungemwambia abadilike au ungemvumilia? Ukimuacha huyo mwanaume ni faida kwake coz wewe sio wife material,huna uvumilivu,hata ungeishi na huyo mwanaume,siku ambayo itatokea matatizo ungemkimbia tu,huenda hata yeye amekuwekea huo kama mtego tu ili akupime uvumilivu wako.
Mshukuru Mungu kama hujaambiwa bby nimesahau wallet lipa ntarefund
Sa mbona masimango?
Mje muanze kulialia na hela za mawazo
Mie natoka nyumbani nimeshiba ugali,na mfukoni nina chochote kitu.
Nilikatazwa kununuliwa chakula.
Chakula tu anachokilipia yeye kimekuuma mpaka unasema ulimblock.Tena Ndio ingependeza na ningempa na hela ya mafuta na next time mm Ndio ningemtoa out na kumhudumia vizuri na ikiwezekana kumuweka ndani tu
bhas hapo unajiona umewin yan unajiona una akili sana unajua kuchagua!!!nimalizie tu kwa kusema wew ni zoba zoba zoba.
Wanawake wengine sijui inakuaje yan km jana nipo nyuma ya vibint viwil miaka yao ni km 22-24 kimoja kinamshaur mwenzake bwana ake akimtumia msg amwambie kuwa simu yake ni mbovu amnunulie akigoms bhas asipokee simu zake niliwaangalia ukiwaona sas km wanawake wa maan kumbe kichwani ni mavi matupu
Sema ukiwa na umri 20s unabidi kuishi MAISHA yenye maana na sio kutegemea offer za wanaume ili upate kitu, sometime waafrica mnakuwa kwa kurudi nyuma na sio kwenda mbele.
Kwanza msichana wa kuniambia chagua sehemu hayupo. Na hata ningekuwa ndo huyo msichana ningechagua sehemu kulingana na kipato cha jamaa.
Amefanya vizuri sana,kukutongoza agalimike ,kukulisha agarimike na bado kulitafuta bao agarimike safi hiyo ndo dhana bora 50/50 ameitendea haki ipasavyo coz kipindi anasulubika kubeba zege hukuwepo
Huyo mwanaume inaonekana hata angekupeleka Hyatt regency na akakulipia kila kitu, bado ungemkatalia Strong and Fearless
Umekoma.
Alikufikisha kagongwabusisi au hakukugonga baada ya kula huo mtama wake?Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Siku hizi hua tunauliza Bei kwanza kabla ya kufikishana mbali wewe breakfast unatumia 200k wakati mwajuma nchokonoe anatumia 1500 ya mihogo alafu mnamiliki kitu kile kile sasa si Bora mtu ajipimie kina chake mapemaBora ulivyofuta namba yake, huyo angekusumbua sana siku za usoni....
Hana haiba ya uanaume, hajiamini, hana aibu pia.
Akhsante...samahani kama ina kuuma we🙂Ndo mawazo yenu yanayowatawala
Mpaka mwanamume akwambie uchague sehemu anajimudu.
Wewe ulikuwa unachunguzwa ni aina gani ya demu
Kwa sababu mwisho wa siku bado alilipa hizo bills
First date imeonyesha wewe ni mwanamke wa aina gani.
Wenzenu wazoefu first date huwa wanakuwa humble hawaombi nauli wala hela ya mafuta ya gari ikiwa ana usafiri hadi anachoagiza sehemu wamekutana
Vipi ulimpa k??
Pole sana kwa kukutana na jamaa mwenye ushamba, yaani kwanza ako na kipato alafu ni mubahili afu ni mshamba tu sasa kwa alilo lifanya kajiaibisha sana.