Miruzi tuuu... Mwanamke akinywa Dompo analegea sana.. ubaya awe fundi KIUNO... Yawe kristo Shikarabboshikaa..Ningekuona wa maana kama bill ilivyoletwa ungetowa pochi na kulipa wewe.
Kuna wanaume maboya sana, yani mnaacha kwenda kula mdudu kilo mbili ndizi 6 sita, moja rost moja kachumbari, mwanamke anashushia dompo mubaba unashushi KVeve na Serengeti tano mkitoka hapo mnaingia lodge ya sh 40,000/= yani hiyo shangwe yake utasema Yesu anaingia Yerusalemu Osana Osana.
Huwa mnawazuzuwa na nini hasa? Makeup au tako?
Its me me and me, acha uchoyo dada yangu 😀 😀 😀. Ukisikia mwanamke anaficha burungutu la fedha huku mumewe anaumbuka au kuumia ndio huku. Anyways kila mtu kamjua mwenzake hivyo the date was fruitful ila change mindset yako, life is not black and white, watu budget umeipanga ila kuna mtoto wa mama mdogo anahitaji kusoma na unamsomesha just like that. Mkiambiwa acheni uchoyo mnaziba masikio.Mimi huyu tulip tuliongea na akasema everything is on me. Na sio kwamba mm sikubeba hela nilikua nayo ya my budget na nyingine kwenye simu ila sio ya kumnunulia yeye
Huyu binti ametegwa ili kuweza kujua kama ni Wife-material ama laa.
Kwa hilo alilolifanya, amekuwa disqualified
Ni kama unasaidia tu kutatua shida yake...then unaendelea na biashara nyingine ni jambo zuri maokoto yapo tu kila siku utapata tu nyingi mzee,in the end unakua umeshamsoma tabia yakeHizo dharau ni nzuri sana![]()
Hatutaki.Na nyie mjifunze kujitegemea
Gotte invite you for a proper Dutch Date..... like how we always say We going Dutch babe.Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.
Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.
Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa.
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Okay so utaniambia tutakutana wapi.Mje muanze kulialia na hela za mawazo 🤣🤣🤣🤣
Mie natoka nyumbani nimeshiba ugali,na mfukoni nina chochote kitu.
Nilikatazwa kununuliwa chakula.
Tumia akili kidogo tu, mwanaume aliye tayari kujirisk wewe ufurahi ndio mwanaume sasa. Endelea kuhangaika, utakipata unachokitafuta.Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.
Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.
Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa.
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Acha kudanga, hiyo ilikuwa interview na umepata zero. Wanaume endeleeni kchunguza haya makurumbembe kabla ya kuingia kwenye mahusiano.Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.
Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.
Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa.
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Hapana kuna umri ambao unaona tu huyu mtu hana lile au hili ni mshabenga sasa 19 to 29 bado wanabelieve this guy have this and that but 30 to above wameshawasoma hawa watu ni hakuna kituumeona alipokesea sio,
Tena kubwa mjipangee 😛Wanangu kazi tunayo
Hapana kuna umri ambao unaona tu huyu mtu hana lile au hili ni mshabenga sasa 19 to 29 bado wanabelieve this guy have this and that but 30 to above wameshawasoma hawa watu ni hakuna kitu
Yesu gani, wa Tongareni au ?yesu wangu🤣
tuache kuiga vitu vya wazungu bana