Siipendi hii tabia

Siipendi hii tabia

Man kuna wanawake niwachoyo sasa imagine unaenda kuishi nae,ataweza ishi na ndugu zako,watoto kama hali ya uchoyo ipo hivi...
Kwa kweli Mkuu, Mwanamke wa hivyo hafai maana Watanzania tunajijua kwa ukarimu wa kupokea Wageni.

Kuna Msichana niliwahi kuvunja mahusiano nae kwa ishu kama hii, yaani mtu mmekutana Ukubwani aanze kukupangia Idadi ya ndugu kuja kukutembelea utasema hamna chakula ndani wakati Chakula kipo hadi kuna wakati mnakimwaga kwa kushindwa kumaliza
 
Ttzo lenu na nyie mnachagua sehemu msizoendana nazo ww hadhi yako nusu nyota ila kwakua umewa nafas ya kuchagua unachangu nyota 4
Jiangalie kwanza hadhi yako unapaswa kua apo yawezekana icho ndo kimesababisha jamaa kaona hawezi ingia hasara mara 2
 
Ni kama unasaidia tu kutatua shida yake...then unaendelea na biashara nyingine ni jambo zuri maokoto yapo tu kila siku utapata tu nyingi mzee,in the end unakua umeshamsoma tabia yake
Daah kumbe tunafanana kidogo, mimi binafsi ninapomtoa binti out huwa sina mategemeo makubwa hakuna kabisa, napenda kitu kizaliwe automatic, sipendi kutumia nguvu ya pesa au out kama kigezo cha kumpata.

Tunaweza kutoka hata mara 2 na nisimwambie chochote zaidi ya stori.

Ikiwa amegusa moyo sana kinachofuata namsoma yeye naye kama kuna kitu kimeumbika juu yangu...hapo....
 
Daah kumbe tunafanana kidogo, mimi binafsi ninapomtoa binti out huwa sina mategemeo makubwa hakuna kabisa, napenda kitu kizaliwe automatic, sipendi kutumia nguvu ya pesa au out kama kigezo cha kumpata.

Tunaweza kutoka hata mara 2 na nisimwambie chochote zaidi ya stori.

Ikiwa amegusa moyo sana kinachofuata namsoma yeye naye kama kuna kitu kimeumbika juu yangu...hapo....

Yeah inakua hujamnunua bali umefanya kwa mapenzi yako binafsi, na akupe mwili wake sio kwasababu ya transaction bali liwe swala la hisia....
 
Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.

Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.

Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.

Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa .

Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.

Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Hivi huyu ndo yuleyule uliekawahi kusema kwamba unahitaji ushauri wa jinsi ya kumwambia haumtaki ??

Na kama ni mwingine, je Yule ulishaachana nae na ilikuwaje ??

Mimi sikujui kama ambavyo wew haunijui, ila nilichogundua kwako ni Kwamba "Unapenda kuyaendesha mahusiano yako kwa hisia.

Jikite sana kwenye kutafuta Maisha yako, muda wa kuishi kwa kuwategmea WANAUME ushapitwa na wakati na ukiendelea kuishi hivyo utaishia kila siku KULETA NYUZI ILI KUJILIWAZA JUU ya udogo wa akili zako.
 
Hivi huwa wanawachukulia vipi au huwa mnavimba sana mpo BOT?

Mimi kipindi nafanya hizo mambo Oystebay nilikuwa namaliza mambo yangu ndani ya gari, unapaki sehemu unamaliza unamlipa mtu ujira wake unamrudisha maeneo unamshusha unasepa, sasa leo mnapangiwa na hotel kabisa? Makubwa haya.
Madem wengine km zombii.... Mim nlkuwa sna gari naish kwa kurekwesti bolt.... Niliwaambia skup Zaid ya 30k..... Huez sepaa ela yangu Bora ninywee Pombee iishee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom