Siipendi hii tabia

Siipendi hii tabia

Grahams unajua ni jina la mtumishi mkubwa Us.
Nawe watumikie warembo wetu mkuu tena kwa mahaba mazito.

Soma tena post uliyo ni quote kuna kipengele niliongezea
Mwenyewe nimechagua upande wa Kumtumikia Kristo kama ulivyo wewe.

Kwa Umri huu wa Uzee unachagua upande sahihi, nami nimefanya hivyo.

Maandiko yanasema Ukizaliwa na Kristo, unakuwa Kiumbe kipya, tazama ya kale yanakuwa mapya......

Kuna matukio unajaribu kuyaandika ili watu wajifunze. Angalia namna Mtume Paulo alivyoifanya kazi hii ili wengi wajifunze kupitia yeye.
 
Unajidanganya sana, hakuna wife material, ni kudra za Mungu tu.

Mwanamke akiamuwa kukuigizia anaweza kukuigizia hata miaka kabla haja kuonesha her true colors.
Ni sahihi Mkuu, lakini kadri mnavyofahamiana inakupa fursa ya kujifunza na pia kuweza kujua namna ya kuweza kuishi naye.

Ila kwa mtoa mada, ameonesha her true colour mapema zaidi, wengine huchukua miaka 3 hadi 5 lakini yeye just a single night 🙌
 
Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.

Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.

Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.

Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa .

Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.

Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.

IMG_7908.jpg
 
Mwenyewe nimechagua upande wa Kumtumikia Kristo kama ulivyo wewe.

Kwa Umri huu wa Uzee unachagua upande sahihi, nami nimefanya hivyo.

Maandiko yanasema Ukizaliwa na Kristo, unakuwa Kiumbe kipya, tazama ya kale yanakuwa mapya......

Kuna matukio unajaribu kuyaandika ili watu wajifunze. Angalia namna Mtume Paulo alivyoifanya kazi hii ili wengi wajifunze kupitia yeye.
Kwa hiyo mkuu uko mbali na UTI?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwenyewe nimechagua upande wa Kumtumikia Kristo kama ulivyo wewe.

Kwa Umri huu wa Uzee unachagua upande sahihi, nami nimefanya hivyo.

Maandiko yanasema Ukizaliwa na Kristo, unakuwa Kiumbe kipya, tazama ya kale yanakuwa mapya......

Kuna matukio unajaribu kuyaandika ili watu wajifunze. Angalia namna Mtume Paulo alivyoifanya kazi hii ili wengi wajifunze kupitia yeye.
Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia Bwana, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng'ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana.

Yoshua 24:15
 
"Lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana".

Shukrani kwa neno Mkuu 🙏
 
Hamna ambacho sjapitia nakumbk ilkuwa corner bar sinza nakapata danga anatka ety fifty k, apo bdo chumba na anatak yeye achague chumba kizur nkamwambia em ntolee ujinga alizua taharukii ata skuwaza akatulia mwenyw.....
Hivi huwa wanawachukulia vipi au huwa mnavimba sana mpo BOT?

Mimi kipindi nafanya hizo mambo Oystebay nilikuwa namaliza mambo yangu ndani ya gari, unapaki sehemu unamaliza unamlipa mtu ujira wake unamrudisha maeneo unamshusha unasepa, sasa leo mnapangiwa na hotel kabisa? Makubwa haya.
 
Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.

Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.

Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.

Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa .

Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.

Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Study conducted in USA mwaka nimesahu ilionyesha kuwa wanawake asilimia kubwa hupenda kwenda kwenye date ili kupata free food ambayo yeye mwenyewe hawezi kuafford.
 
Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.

Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.

Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.

Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa .

Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.

Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Nitumie namba yako pm nikupoze machungu
 
Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia Bwana, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng'ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana.

Yoshua 24:15
Umeamua kurudisha mpira kwa kipa mkuu? Mimi bado kidogo🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom