Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,455
- 6,465
- Thread starter
- #21
ππunawaza mvua badala uwaze chai..π€£
ππunawaza mvua badala uwaze chai..π€£
Uzi tayariSihami TANZANIAView attachment 3283875 kabisaa πππππ
Chapati zina mafuta hivyo hazidhuliki na maji,yanateleza tu.Hapo ikishuka mvua mambo yashaharibika
Tumia akili yako kuujua uzi huu kutokana na yanayoendelea nchini.Uzi tayari
Kwa mfano bahari ya hindi ingekuwa Chai au supu, ungeimaliza na chapati ngapi?unawaza mvua badala uwaze chai..π€£
mh we umevuka mipaka sasaKwa mfano bahari ya hindi ingekuwa Chai au supu, ungeimaliza na chapati ngapi?
Ukiona unachekeshwa na picha ya namna hiyo ujue uko in a very good mood
Kenzy sijui huwa unawaza nini aisee nimebaki nacheka tu hapa.