Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Sasa kwani wewe mwanachadema? mwanachadema akitaka kujua atajua tu.....Kiufupi WanaCDM Hamjui nani anapiga saini. Basi si lazima kuelezwa kila kitu weka moja kichani.
Sasa kwani wewe mwanachadema? mwanachadema akitaka kujua atajua tu.....Kiufupi WanaCDM Hamjui nani anapiga saini. Basi si lazima kuelezwa kila kitu weka moja kichani.
Hii ndio CHADEMA matusi kwenda mbele.Acha pripaganda za kikenge wewe!
Unamfundisha nani good practice ya acounting wewe!!
Unafikiri humu wapo vilaza kama kwenu
Unanikasirisha sana wewe. Hujui mnatumia pesa zetu za kodi? Kwanini tusihoji? Hivi mkipewa ruzuku pesa zinatoka wapi unadhani acha ushabiki usio na tija wewe!!Sasa kwani wewe mwanachadema? mwanachadema akitaka kujua atajua tu.....
Unanikasirisha sana wewe. Hujui mnatumia pesa zetu za kodi? Kwanini tusihoji? Hivi mkipewa ruzuku pesa zinatoka wapi unadhani acha ushabiki usio na tija wewe!!
Tuache kujadili hoja mufu, vipi kila siku ulikuwa una lalamika kuwa chadema hawafiki kusini wamekalia kazikazini, vipi umeona moto wa chadema....umejivua gamba?
Acha pripaganda za kikenge wewe!
Unamfundisha nani good practice ya acounting wewe!!
Unafikiri humu wapo vilaza kama kwenu
Hii ndio CHADEMA matusi kwenda mbele.
Hii ndio CHADEMA matusi kwenda mbele.
Utakalia kulialia hivyo hivyo....
Kama una uchungu na pesa ya watanzania anza na za meremeta Gold, Richmond, Rada, na ufisadi mwingine....Tunajua CCM mna fikilia kuzuia ruzuku ndiyo maana tumebuni njia mpya ya kuendesha chama chama chetu kitaendeshwa na wanachama na wapenzi wa chadema hata mkizuia ruzuku.....Na jua kuwa tuna pewa ruzuku kama wanavyo pewa CCM, CUF, NCCR Manunuzi na vyama vingine vyenye wabunge lakini pia natambua kuwa pesa hizo hukaguliwa hivyo kitendo chako wewe kutaka tukujulishe na signatories ni kutoiamini serikali yako kuwa hao wanao kagua hawafai bali wewe ndiyo unafaaa sana tena unakagua kwa kujua nani anasign wakati wa kutoa pesa nina wasiwasi kama una akili kichwani mwako au umejaa makasi tu.............................
Signature kwenye chegue ya kutolea pesa CCM ni Kinana na Meghji...Chadema je?
Wakati mwingine tunatakiwa kuacha utani na kujibu maswali na Kama hujui kaa kimya tu usubiri wengine wajibu. Kuuliza ni Kutaka kujua na wala wizi hua haufanyiki hiyo. Kama angekwa takukuru hakuwa na haja ya kuuliza hapa, Angekwenda bank ambayo chadema wana accounts na angeambiwa. Hiki ni Chama cha wanaanchi kwa hiyo Watu wanahitaji kujua mambo ya msingi
Signature kwenye cheque ya kutoa hela account za chadema ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi? Ni swali tu wana jf
KUNA TETESI KUWA SIGNATORIES WA CHADEMA NI 2 TU NA SILAA SIYO MOJA WAO. NA HAO WAWILI WANAWEZA KUTOA FEDHA ZA CHAMA SAA YEYOTE BILA KUHUSISHA MJUMBE AU MWANACHAMA YEYOTE NA HATA HELA ZA MIKOANI LAZIMA WASAINI WAO NDO ZIWAFIKIE WALENGWA NILITAKA KUJUA HAWA NI NANI NA NANI? NDIYO MSINGI WA SWALI?
Kenge ni yule ambae ulimkalia wakati unaandika upuuzi wako.