Nmb Manonga Shinyanga asilimia 90 ya hundi eti signatory wamekosea kusaini na wanarudishwa kujaza fomu

iyokichiku

Member
Oct 30, 2023
36
70
Uongozi wa nmb tawi la manonga shinyanga umeshindwa kufanya kazi yake kikamilifu kwa kukataa kuwapitishia wananchi hundi zao hasa. asilimia kubwa ikiwa watumishi kwamba eti wamesaini tofauti na saini zao.

Hii ni aibu kubwa mtu kuambiwa saini siyo ya kwake wakati anasaini kula Mara, huyo Dada anayehudumia dirisha la cheque hafai hata kidogo.

Watu wengi wamesikika wakilaumu kadhia hiyo wanayofanyiwa.

Aidha, hata cheque zinazopitishwa fedha haziwekwi kwenye akaunti zao kwa muda muafaka kwani inatumia hata siku 3, Hadi hela kuwekwa kwenye akaunti.

Uongozi wa benki ya manongo unatakiwa kujitathmini kwa Hali hiyo kwani huduma ni mbovu mbovu mbovu Sana.
 
Back
Top Bottom