Signature kwenye cheque ya kutoa hela CHADEMA ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi?

Mwangendage

Member
Jan 11, 2012
69
2
Signature kwenye cheque ya kutoa hela account za chadema ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi? Ni swali tu wana jf
 
duuh breach of privacy hawa chadema sasa wamegeuka soko la wajinga yaani hata signature za mtoa pesa watuwekee kwenye public domain,takukuru,usalama wa taifa hamuwezi kuwainvestigate wenyewe mpaka mupitie jamii Forum ngojea wajuzi wapo wengi watakupa jibu
 
Vipi unatafuta namna ya kutengeza 'signature" mtaani? Naona kama polisi wanahitaji kuona hili swali:)
 
Swali zuri sana maana kuna watu wameanza kuwa na wasiwasi na michango yetu jinsi inavyotumika. kuna tetesi kuwa hakuna control nzuri ya utoaji wa pesa katika chama, nasikia eti anaangaliwa nani anataka bila kujali ni kipi kipaombele. Hatari sana
 
huoni haibu?
 
huoni haibu kwa unafiki?
 
evidence please!
 
Basi wanaCDM naomba mtoe maelezo msikwepe swali nani ambaye anapiga singature?
 
wala hatu hitaji pesa ya mafisadi, wewe subiri tuingie madarakani utanyea debe navua mna weeseka na M4C..na bado mpaka chupi mzivae kichwani, m4c speed ni ile ile

Mkuu Crashwise, kwanini huwa mna hasira sana watu wakihoji mapato na matumizi ya chama? kuna nini kimejificha katika hili?
 
Last edited by a moderator:
wala hatu hitaji pesa ya mafisadi, wewe subiri tuingie madarakani utanyea debe navua mna weeseka na M4C..na bado mpaka chupi mzivae kichwani, m4c speed ni ile ile
Ona wanaCDM matusi kibao hamna hata hoja ya ukweli kuulizwa swali kama hilo tu mnaanza kutukana hovyo. Je mkiingia madarakani si mtakuwa mnaua kabisa mkiulizwa maswali!!!
 
Signature kwenye cheque ya kutoa hela account za chadema ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi? Ni swali tu wana jf

Mlianza na kugushi card za CDM tukawashtukia, sasa manataka kugushi na sahihi kwenye hundi CDM? Ukisikia kuishiwa hoja basi ndo huko. Wewe ni mkaguzi wa hesabu? Wewe ni fraud officer? Ni vile tu naogopa ban vinginevyo ningekunyeshea mvua ya matusi.
 
Makamanda wa Chadema member mwenzetu kauliza swali la msingi mpeni jibu...signature kwenye chegue ya kutoa pesa mnatumia majina ya nani na nani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom