Signature kwenye cheque ya kutoa hela CHADEMA ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi?

Sasa kwani wewe mwanachadema? mwanachadema akitaka kujua atajua tu.....
Unanikasirisha sana wewe. Hujui mnatumia pesa zetu za kodi? Kwanini tusihoji? Hivi mkipewa ruzuku pesa zinatoka wapi unadhani acha ushabiki usio na tija wewe!!
 
Unanikasirisha sana wewe. Hujui mnatumia pesa zetu za kodi? Kwanini tusihoji? Hivi mkipewa ruzuku pesa zinatoka wapi unadhani acha ushabiki usio na tija wewe!!

Kama una uchungu na pesa ya watanzania anza na za meremeta Gold, Richmond, Rada, na ufisadi mwingine....Tunajua CCM mna fikilia kuzuia ruzuku ndiyo maana tumebuni njia mpya ya kuendesha chama chama chetu kitaendeshwa na wanachama na wapenzi wa chadema hata mkizuia ruzuku.....Na jua kuwa tuna pewa ruzuku kama wanavyo pewa CCM, CUF, NCCR Manunuzi na vyama vingine vyenye wabunge lakini pia natambua kuwa pesa hizo hukaguliwa hivyo kitendo chako wewe kutaka tukujulishe na signatories ni kutoiamini serikali yako kuwa hao wanao kagua hawafai bali wewe ndiyo unafaaa sana tena unakagua kwa kujua nani anasign wakati wa kutoa pesa nina wasiwasi kama una akili kichwani mwako au umejaa makasi tu.............................
 
Tuache kujadili hoja mufu, vipi kila siku ulikuwa una lalamika kuwa chadema hawafiki kusini wamekalia kazikazini, vipi umeona moto wa chadema....umejivua gamba?

Ndugu yangu Crashwise, NasDaz hana gwanda wala gamba na wakati utakapofika ata-join na yeyote ambae nahisi tutaongea lugha zinazofanana angalau kwa 60%....nafahamu hakuna nitakaoenda halaf lugha zetu zikawa zinafanana kwa 100% labda kama nataka nikageuke kuwa "ndiyo mzee" utamaduni ambao si wangu.

Ni bahati mbaya sana nilishindwa kufuatilia harakatizenu kusini kwani tangu wakati ule, nd kwanza leo hii naingia jukwaani na kutulia kwa muda kidogo. Hata hivyo, ni matumaini yangu kwamba haitakuwa nguvu za soda kama CUF na Operesheni Zinduka (nikumbushe kama ndo ilikuwa hiyo) hayo!! Lakini kama mmefanya kile kinachpaswa kufanywa, basi hongereni nd keep it up.
 
Hii ndio CHADEMA matusi kwenda mbele.

Utakalia kulialia hivyo hivyo....

Crashwise,
Wewe sio wa mtu wa ku-support ujinga na ulimbukeni unaofanywa na wale wanaojifanya kwamba wana mapenzi na CHADEMA....hawa watu ndio wanaoharibu taswira ya CHADEMA kwa baadhi ya watu. Sio siri, endapo leo hii nitaamua kutafuta jambo kuhusu CHADEMA humu jamvini basi wala sitasita kukutafuta kwavile unaonekana kuwa lugha inayofaa ingawaje na wewe wakati mwingine huwa unapotoka na kuiga lugha za watu ambao mie naamini ni wafuata upepo tu. Unapomsikiliza mtu kama Mbowe, Slaa, Mnyika, Zitto na wengine kama hao mtu anaweza kujiuliza hawa CHADEMA waliopo JF wanai-support CHADEMA ipi!
 
Kama una uchungu na pesa ya watanzania anza na za meremeta Gold, Richmond, Rada, na ufisadi mwingine....Tunajua CCM mna fikilia kuzuia ruzuku ndiyo maana tumebuni njia mpya ya kuendesha chama chama chetu kitaendeshwa na wanachama na wapenzi wa chadema hata mkizuia ruzuku.....Na jua kuwa tuna pewa ruzuku kama wanavyo pewa CCM, CUF, NCCR Manunuzi na vyama vingine vyenye wabunge lakini pia natambua kuwa pesa hizo hukaguliwa hivyo kitendo chako wewe kutaka tukujulishe na signatories ni kutoiamini serikali yako kuwa hao wanao kagua hawafai bali wewe ndiyo unafaaa sana tena unakagua kwa kujua nani anasign wakati wa kutoa pesa nina wasiwasi kama una akili kichwani mwako au umejaa makasi tu.............................

Hii post inahusu Chadema post na wewe ya kuhusu ulivyovitaja ila kiufupi tunata mambo yawe wazi.
 
Wakati mwingine tunatakiwa kuacha utani na kujibu maswali na Kama hujui kaa kimya tu usubiri wengine wajibu. Kuuliza ni Kutaka kujua na wala wizi hua haufanyiki hiyo. Kama angekwa takukuru hakuwa na haja ya kuuliza hapa, Angekwenda bank ambayo chadema wana accounts na angeambiwa. Hiki ni Chama cha wanaanchi kwa hiyo Watu wanahitaji kujua mambo ya msingi
 
Signature kwenye chegue ya kutolea pesa CCM ni Kinana na Meghji...Chadema je?

hatuitaji kujua! Hata fomu za kufungua akaunti mabenki yote utunzwa confidentially,sasa huu utahaira wa kutaka kujua ni nani signatory ili mka blackmail ni kwa ajili ipi?acheni ujambazi wenu,kama uko kwenye chama chenu zimeisha,shikeni jembe mkalime! Ethics should prevail,confidentials should remain confidentials.
 
Mwangendage Sahihi mbili zinatosha na hakuna sheria iliyovunjwa. Hivyo ondoa shaka. Suala la signatories ni la ndani ya taasisi husika na siyo issue humu jamvini. Pia suala la ufujaji fedha halihusiani na idadi ya sahihi. Uhalifu ni dhamira na mipango miovu na inaweza kufanywa na mtu mmoja au zaidi tena kwa pamoja. Katika hali ya kawaida shughuli ya uhakika ya CDM kila mmoja anaiona wanatembea kila kona ya TZ wanafanya mikutano, wanafanya uhamasishaji n.k. Uwezi amini jamaa wamefika hadi kwetu kijijini Kiambankupe! Wachangieni waikomboe nchi.
 
Wakati mwingine tunatakiwa kuacha utani na kujibu maswali na Kama hujui kaa kimya tu usubiri wengine wajibu. Kuuliza ni Kutaka kujua na wala wizi hua haufanyiki hiyo. Kama angekwa takukuru hakuwa na haja ya kuuliza hapa, Angekwenda bank ambayo chadema wana accounts na angeambiwa. Hiki ni Chama cha wanaanchi kwa hiyo Watu wanahitaji kujua mambo ya msingi

acheni wizi nyie,eti wangeenda benki,unadhan bank details zinatolewa kwa yeyote?yan hata a/c ya ccm,ya tlp,ya cdm,hatuitaji kujua,kama amekuwa trusted na akawa authorised kusaini kuchukua ela,hata akiamua kwenda na roli akabeba zote ni vyema mana amekuwa authorised kama signatory labda tatzo ni akizitumia vibaya!na ikumbukwe kuwa hakuna akaunti ya kikundi inayoendeshwa kwa signature moja!so ubadhilifu haunzi na sahihi! Achen utapel ndugu zetu!
 
Signature kwenye cheque ya kutoa hela account za chadema ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi? Ni swali tu wana jf
KUNA TETESI KUWA SIGNATORIES WA CHADEMA NI 2 TU NA SILAA SIYO MOJA WAO. NA HAO WAWILI WANAWEZA KUTOA FEDHA ZA CHAMA SAA YEYOTE BILA KUHUSISHA MJUMBE AU MWANACHAMA YEYOTE NA HATA HELA ZA MIKOANI LAZIMA WASAINI WAO NDO ZIWAFIKIE WALENGWA NILITAKA KUJUA HAWA NI NANI NA NANI? NDIYO MSINGI WA SWALI?

Maswali mengine mpaka yanatia kichefuchefu.
Sijui nikuite mkuu au jina gani zaidi ya hilo la Mwangendage?
Ninasema hivyo kwa sababu swali lako linarandana na mtoto umri wa miaka chini ya 15, ambaye somo la uraia analosoma skuli hajafikia kujua kwamba vyama vya siasa vinaongozwa na sheria za nchi na kusimamiwa na msajili wa vyama vya siasa.
Unataka kupata pesa kutoka CDM? Huhitaji kumjua signatory ni nani, au unataka kuchakachua saini zao? Acha utafungwa.
 
Fedha ndiyo mambo yote,subiri 2015 utajua utaratibu wote,waziri wa fedha ppls,BOT ppls na serikali kwa ujumla,jibu utapata after election
 
Signature kwenye cheque ya kutoa hela account za chadema ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi? Ni swali tu wana jf
KUNA TETESI KUWA SIGNATORIES WA CHADEMA NI 2 TU NA SILAA SIYO MOJA WAO. NA HAO WAWILI WANAWEZA KUTOA FEDHA ZA CHAMA SAA YEYOTE BILA KUHUSISHA MJUMBE AU MWANACHAMA YEYOTE NA HATA HELA ZA MIKOANI LAZIMA WASAINI WAO NDO ZIWAFIKIE WALENGWA NILITAKA KUJUA HAWA NI NANI NA NANI? NDIYO MSINGI WA SWALI?

weka mada zenye mashiko humu haya mambo ya umbea sijui mnaanzia wapi nyinyi leteni mada za kujenga Taifa kama chadema inakutisha hamia Kenya
 
Back
Top Bottom