Signature kwenye cheque ya kutoa hela CHADEMA ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi?

Swali zuri sana maana kuna watu wameanza kuwa na wasiwasi na michango yetu jinsi inavyotumika. kuna tetesi kuwa hakuna control nzuri ya utoaji wa pesa katika chama, nasikia eti anaangaliwa nani anataka bila kujali ni kipi kipaombele. Hatari sana

Kumbe nawe umechangia? kweli ukombozi wa kweli kwa nchi hii uko mbioni kufika. Nje CCM ndani unai-feel CDM. Well done Tume ya katiba
 
Last edited by a moderator:
Kama ni Usalama wa taifa ndo waliopost hivi Basi tumekwisha maana hapo itakua hakuna kitu we are totaly naked
duuh breach of privacy hawa chadema sasa wamegeuka soko la wajinga yaani hata signature za mtoa pesa watuwekee kwenye public domain,takukuru,usalama wa taifa hamuwezi kuwainvestigate wenyewe mpaka mupitie jamii Forum ngojea wajuzi wapo wengi watakupa jibu
 
Signature kwenye chegue ya kutolea pesa CCM ni Kinana na Meghji...Chadema je?
Mbona Mwigulu aliiambia mahakama huko Tabora kwamba yeye anasign cheque kubwa kubwa unamaanisha kwamba akiidanganya mahakama?

Kwa hiyo hata posho zenu anasign kinana na meghji au ndio mwigulu alisema zinalipwa kwa pet cash
 
Tafuta hoja ya msingi sio kwa kuleta umbea unafiki , ufenzuri, uyabisi , Lete mada watu tuijadili hatutaki fitina hapa sawa wewe unataka saini ya vigogo wetu ni ya nini kwako?
 
Kwani zile hela buku buku kulaza magai kwenye viwanja vya ccm zinaingia kwenye ipi?
 
Tafuta hoja ya msingi sio kwa kuleta umbea unafiki , ufenzuri, uyabisi , Lete mada watu tuijadili hatutaki fitina hapa sawa wewe unataka saini ya vigogo wetu ni ya nini kwako?, Subiri tarehe 15/11/2015 hapo utajua ni nani anatoa pesa za chama na siyo leo mbona wataotuchangia hauwaulizi pesa wanatoa wapi ila sisi tukitoa unataka kuhoji??
 
Nadhani hii ishu ni ya kiutawala zaidi. nenda ofisini kwao ukapate maelezo. Au kwa msajili wa vyama vya siasa. Tafadhali usituchoshe hapa
 
Kiufupi WanaCDM Hamjui nani anapiga saini. Basi si lazima kuelezwa kila kitu weka moja kichani.
 
Mods,
Mnaweza mkaondoa hii post tafadhali?
Naona dalili kwamba kuna watu watakuwa provoked, halafu wataweka maneno mabaya halafu watakula ban.

Sidhani kama hii post ina hadhi ya kukaa huku JF.Hadhi yake ni kule kwenye FB ambako kuna mipasho, udini, keejli, matusi, kuondoa utu wa mtu(ile picha ya Wassira was the worst).

Narudia, post imekaa kidaku na sintoshangaa kuona kuna watu wakatukanana wakala ban.
 
Ona wanaCDM matusi kibao hamna hata hoja ya ukweli kuulizwa swali kama hilo tu mnaanza kutukana hovyo. Je mkiingia madarakani si mtakuwa mnaua kabisa mkiulizwa maswali!!!

Kama wanavyo ua CCM!?...tene usini kumbushe mlivyo muua mwenyekiti wa chadema kata ya usa river....
 
Kwamba CHADEMA ni chama ambacho wanachama, wapenzi na mashabiki wake wengi ni vijana tena vijana wasomi ni jambo lisilo na ubishi. Kinachonichanganya ni namna gani wafuasi hawa wasivyokuwa tayari kusikia lolote baya likisemwa dhidi ya CHADEMA...hapa kuna walakini kwa 100% na ni aibu. Ni aibu kwa sababu sina shaka yoyote kwamba karibu wote walioponda kwenye thread hii unaweza kukuta hawafahamu Signatory Arrangement ya chama!!

Tukirudi kwenye mada, nazani hapa si sehemu sahihi kuweka nani na nani ni signatories wa CHADEMA lakini si vibaya hata kidogo kuelezea signing arrangement ya chama hicho ama chama chochote kile. Labda nielezee tofauti kati ya signing arrangement na signatories. Kwa chama kama CHADEMA au chochote kile natarajia kiwe na signatories wasiopungua wanne, ambao ni Mwenyekiti au Katibu Mkuu, Mweka Hazina na wajumbe 2. Hao ni signatories. Katika signing arrangement, natarajia angalau signatories 2 (At Least 2) wanaweza kuruhusiwa kutoa pesa BUT with condition.
1. Kwanza hao sigantories 4 wanapaswa kuwa grouped kwenye makundi mawili, say A and B.
2. Kwavile tunatarajia mwenyekiti/katibu na mweka hazina wanaweza kuwa ni watu wa karibu, basi hawa wanapaswa kuwa ktk kundi moja...ama wote ni A au wote ni B na wale wajumbe wawili nao wawe kwenye kundi moja.
3. Katika signing arrangement, best practice ni ile At least 2, 1 from A and another from B.
4. Sababu ya kufanya mmoja atoke kundi A na mwingine kundi B ni kutotoa nafasi kwa signatories walio karibu (e.g Mwenyekiti na Mweka Hazina) kufanya transaction peke yao.....kwamba, wasije waka-collude peke yako kwavile wapo pamoja na kuamua kutoa maamuzi ya kuchukua fedha hususani pale panapotokea migogoro!
Hapo juu, nilizungumzia suala la kutoa WITH CONDITION...! Condition kubwa kwa akaunti za aina hii ni kwamba signatories wataenda kutoa pesa benki baada ya kuwa supported na muhtasari wa kiao halali kilichoidhinisha utoaji wa fedha hiyo. Katika hali ya kawaida, tunatarajia ni muhtasari kutoka kwenye kamati ya fedha na uchumi au kitu kingine kinachofanana na hicho. Na muhtasari husika unatarajiwa uwe umesainiwa na idadi ya wajumbe ambayo itakuwa tayari walishakubaliana wakati wanapeleka maombi yao ya kufungua akaunti. Mathalani, kama kamati ya fedha ina wajumbe kumi, basi wanaweza kukubaliana in advance kwamba angalau theluthi mbili ya wajumbe inapaswa kuidhinisha utoaji wa fedha.

Huo, ndi utaratibu sahihi unaopaswa kufanyika kwenye akaunti yoyote ya jumuiya kama ile ya vyama vya siasa, clubs za michezo na nyingine kama hizo na kinyume chake ni kukaribisha ufisadi hapo mbeleni!
 
Makamanda wa Chadema member mwenzetu kauliza swali la msingi mpeni jibu...signature kwenye chegue ya kutoa pesa mnatumia majina ya nani na nani?
Huu uzi ni uzi mfu na kipuuzi zaidi kwa mwaka huu.

Kawaulizeni mabwana zenu ccm nani alikuwa anatoa jela ya kampeni kwa ridhiwani na salma.

Kampeni ilipigwa na familia nyie wengine wote mlikuwa kama wauza masaburi wa magomeni.

You will eat coke this time around!!
 
Acha pripaganda za kikenge wewe!
Unamfundisha nani good practice ya acounting wewe!!
Unafikiri humu wapo vilaza kama kwenu

hahahahahahah....hawataki tujadiri kataibu wao alivyo umbuka jana kwenye msiba baada ya kukurupuka kujidai anaijua chadema matokeo yake kaongea mambo ambayo baadae yaka geuka moto...
 
Back
Top Bottom