Sign for adults only!

Sign for adults only!

Hapana dadaake....

Unafahamu viumbe wanaitwa wachina? Basi ndo wamefanya yao
Wacha wakome. Angetaka si angekwenda kufanya realy plastic surgery ya kueleweka? Huwezi kutaka uzuri wa hivyo kama huna pesa. Dunia nzima ni kilio siyo bongo tu. Heri yetu black beauty tunaridhika sababu ukirogwa kuweka mkorogo unakuwa mbagala rangi tatu.
 
Umeamka? Leo nina tilapia na karanga weee! Nimekosa kisamvu na nyanya chungu. Kuna sehemu tulienda nikazipata sasa zimeisha ila naotesha soon.
 
Wacha wakome. Angetaka si angekwenda kufanya realy plastic surgery ya kueleweka? Huwezi kutaka uzuri wa hivyo kama huna pesa. Dunia nzima ni kilio siyo bongo tu. Heri yetu black beauty tunaridhika sababu ukirogwa kuweka mkorogo unakuwa mbagala rangi tatu.
Afadhali nshajua kumbe we ni black beauty. Ngoja nikufuate PM tuyajenge
 
We mzee utafungwa... mtoto huyo...

Kamata hili toto la kipare ukahangaike nalo

images
Hii nayo video mpya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom