Naruhusiwa kurusha picha za chura mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyo ndo wa jangwani mkuu?!Mradi asiwe wa Jangwani tu...
![]()
Ewaaa... huwa anasubiri maji ya mafuriko ndo anaibuka...[emoji23][emoji23][emoji23]Huyo ndo wa jangwani mkuu?!
[emoji23][emoji23][emoji23]Ewaaa... huwa anasubiri maji ya mafuriko ndo anaibuka...
We hujajua kwanini Chirwa huwa anakosa kufunga penalti?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa watoto acheni wasome jamani![emoji53][emoji53][emoji53]
We mzee utafungwa... mtoto huyo...
wengine hatuna access huko