Sifi tena kwa ngoma mungu mkubwa.......

Ilkua mwaka 2003 wakati nakaa kigogo mwisho nilipofaulu nikapangwa BMW sasa kuna jamaa yangu alikua kwa sasa yuko kwa malkia kaka yake alikua amemwachia nyumba mburahati yeye alikua anarisiti huku anaendelea na masomo ya five na six tegeta .Huyu jamaa akaniomba kwa kuwa alikua anasoma HGL na mm nilikua nasoma hiyo hiyo tuwe tunasomea kule mburahati kwa hiyo mm nikawa naenda kule kupiga buku na jamaa kimtindo .Kule nikakutana na motto mmoja wa kihaya kwa sasa ni marehemu apumzike kwa amani huko aliko.Huyu binti alikua binti wa pekee kea mama yake aliyekua anafanya kazi Bank akanizimikia kamanda nikawa napiga mzigo wakati huo yeye yuko kidato cha tatu Zanaki mi niko kidato cha tano pale Benja kama kwa kijana ile sehemu ya kusome ikawa sehemu ya kupigia mzigo.Nikawa napiga mzigo ule taratibu na kwa ufundi sana yaani na nilimuamini mno Yule binti kadri siku zilivyzidi kwenda tukawa karibu mno na sikuweza tena kutumia kinga kulia mzigo.
Huyu jamaa yangu akafanya mitihani yake ya kidato cha Nne aliyokuwa anarisit wakati tunaingia six akaniambia alifeli kwa hiyo kaka yake ameamua amchukua kwa malkia hivyo yeye akaondoka zake.MM nikabaki napiga ule mzigo gest maana sikuweza kumpeleka home ingekua ngumu kulitolea maelezo kwa mzee na ni picha mbaya kwa mdogo wangu,ila alikua anafika home pale inapolazimu.
Nilipomaliza six nikala tempo sehemu wakati nikiwa nasubiri tokeo nikawa naendelea kula mzigo kwa kuwa nilikua napiga tempo basi bata ikawa kwa kwenda mbele.Huyu binti alipoona vile naye akazidi kujisogeza na mm nikazidi kumuamini na kuwa nae karibu zaidi.
Siku moja nilitoka ofcn nikawa nimeenda tabata kwa kumuona rafiki yangu Fulani ila nilikua na mihadi ya kukutana na huyu binti kwa ajili ya kula mzigo maana ndio ilikua habari yetu kubwa.My interest kwake sasa nikachelewa tabata Yule binti akatimba maskani akakutana na dogo pamoja na kwamba tulikua na mawasiliano ila yeye hakuamini ilibidi aende home kuhakikisha.Dogo akamwambia huyu jamaa hayupo Yule binti akaaga dogo akamsindikiza ila alipokua anaelekea sio njia ya nyumbani kwao na mara kwa mara alikua anaongea na simu yake kana kwamba kuna mtu mwingine alikua na miadi naye.
Dogo aliporudi anafika home na mm nilikua nishafika akanipa story nzima na mm nikamwambia asitie shaka tutajua kila kitu .Wakati huo mm nafanya michakato ya chuo Arusha baada ya tokeo kutoka na kuwa mazuri.Na ilikua imebaki kama wiki tu niondoke tukakutana na Yule binti kwa gesti Fulani kigogo mwembejando kama kawa nikawa napeleka gambe huku nakula mzigo mpaka mida ya saa sita ndio nikamsindikiza stendi kigogo mwisho apande daladala ya mburahati. Nae wakati huo alishamaliza shule kuna kakozi ka compu alikua anapiga town kwa hiyo alikua na kanote book Fulani na kapochi na hivyo vitu nilikua nimevishika mm.Wakati tupo stendi pale akaja kijana mmoja akaanza kuongea nae ikabidi mm niwe mkali ukichanganya na gambe lililokua kichwani Yule dogo akanywea akaingia kwa bar Fulani ilikua opposite pale akaja na jamaa mwingine .Huyu jamaa na mm tunafahamiana kwa hiyo akanisalimia wakati huo Yule binti akakimbia na mm nikatupa vile vitu vyake wale jamaa wakamkimbiza wakashindwa kumpata wakarudi kwangu.yule jamaa ambaye inaoanekana alikua na mahusiano na huyu binti alimpiga marufuku Yule binti asiende kwake mbele yangu kabla hajakimbia.Yule jamaa yangu akawa ananiambia kwamba Yule demu alikua anatuchanganya kitu ambacho mm nilishakijua toka ile siku ambayo dogo alimsindikiza uelekeo wake ulikua pande za huko kwa huyu jamaa.
Baada ya pale mm nikaondoka na kutua Arusha ingawaje Yule demu alikua anaomba msamaha ila nikapuuzia ,Nilipofika arusha bado alikua akiendelea kupiga simu na hata simu yangu ilivyopotea aliomba namba ya Anti yangu ambaye nilikua namtembelea wikiend na alikua anasumbua kutaka msamaha hiyo ilikua 2006 mwanzoni.Kadri muda ulivyozidi kwenda Yule binti akasahau na kukuwa hakuna mawasiliano tena .Kwamba hata mm watu niliokua nawasiliana nao nikapoteza mawasiliano nao .Kumbe Yule binti alaijaumwa sana na mwaka 2008 mwanzoni alifarikina inasadikiwa ni ngoma bahata nzuri ni kwamba mm nilishapima mara nyingi na nilikua na binti mmoja ambaye ni nesi na alikua anakuja na vipimo full kupimana tukiwa room.
MPAKA SASA NAAMINI KWAMBA NGOMA HAITANIUA TENA MAANA MUNGU ALINISAVE KWA HII YA KUJA ARUSHA VINGINEVYO NINGEMSAMEHE YULE BINTI NA KUENDELEA NA MZIGO.

Wewe umepona hapo unajisifu kama ujanja... Sasa endelea kuwaharibu watoto wa watu uone kama huyo mdudu(ukimwi) atakuacha... Tafuta wa kuoa, ustirike!
 
Ulivyoandika heading nilidhani unauhakika kwamba dem alikufa kwa ngoma.
Kumbe inasemekana!!
Ah,,,, wepotezea tu
 
Bado sana kijana. Pamoja na elimu yako unafikiri ngoma inaambukizwa kwa kujamiana tu! Pole sana, nende kashuhudie kwenye nyumba za ibada km kwel umeacha uzinzi.
Unahitaji seminar na nesi wako huyo anakuzuga na vipimo vvu havionekani ndani ya siku moja au wiki1.
 
Bwana mdogo unaonekana unapenda sana mbunye wewe...tena umeanza kuvunua nyuchi ukiwa ungali mdogo.

Kuwa makini la sivyo utazikwa kilo mbili...uhai wako ni wa thamani acha kuuchezea.
 
gambe ni nini?? Halafu wewe bado sana, sasa kinachokuaminisha huwezi kupata ngoma tena ni kitu gani???!!!! Hapa duniani mdogo wangu never say never!
 
Back
Top Bottom