Sifa za wanawake wembamba

madeinmusoma

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
322
386
Imebainishwa kuwa WANAWAKE wengi wembamba ni watalamu wa mapenzi kuzidi wanawake wanene, hii inatokana na tafiti mbalimbali zilizofanya na watalamu wa masuala ya mapenzi kama wakina Leticia Jackson wa US, Prof. Benjamin James wa Ufaransa, Dr. Edward Huloww wa Uingereza, hawa watalamu katika tafiti zao walizofanya katika nchi mbalimbali zinaonyesha kuwa asilimia 85 ya wanawake wembamba wanajua staili nyingi za kuhondomolana wakati wa chakula cha usiku, na asilimia 15 ya wanawake wanene ndio wanaojua kula vizuri chakula cha usiku.

Na sababu inayofanya wanawake wembamba kuwa wataalamu sana katika chakula cha usiku ni kutoka na wepesi walionao. Hivyo anaweza kujikunja na kukaa mkao wowote ambao huleta raha na mamnjonjo katika mapenzi. Japo sio kila mwanamke anaweza kufanya hivyo katika mapenzi wengine wataki hata kutoa ushikiano katika mapenzi.

Hiyo ni tabia tu ya mtu si mnene wala mwembamba. Basi kama mpenzi wako anafanya hivyo na huipendi hiyo tabia ni bora umwambie au umfundishe sababu sio kila mtu anajuwa kilakituJapo kuwa kila mwanaume ana uchaguzi wake ila uchaguzi wako isiwe sababu ya kuwanyanyapaa wanawake ambao sio chaguo lako. Kama wewe unapenda wembamba usinyanyapae wanene na kama unapanda wanene usiwanyapae wembamba.

Je, wewe unasemaje!
 
Hili kombe la capital one ni la shiefield united nani anabishaa????
 
katika fursa zangu za mwaka 2015 nafikiria nianzishe somo la ngono nahisi nitakua billgates soon
 
Sisi wengine leseni zetu hazituruhusu kuendesha magari makubwa ndio maana tunakomaa na canter pekee...
 
Back
Top Bottom