Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,947
- 177,163
Mwanamke wa kiafrika sifa ni kufungasha....ukiwa mwembamba halafu nyuma mzigo mambo ni ✅✅✅✅✅✅
kuna watu wembamba ila maeneo ya kati mashallaaah!
Mwanamke wa kiafrika sifa ni kufungasha....ukiwa mwembamba halafu nyuma mzigo mambo ni ✅✅✅✅✅✅
Nyama iliokaribu na mfupa ni tamu sana. Hujui hilo kwani???
nimeamini mwanamke anasumbua dunia kuliko hata pesa. Na badoo.
vinarandana... pesa/mwanamke.
kweli tupu...kama ilivyo utamu wa pipi mate yako....Awe mwembamba au mnene, utamu ni hisia zako tu.
we unategemea ninikikitokea ukikutana na beseni...
picha tafadhari!!kuna watu wembamba ila maeneo ya kati mashallaaah!
Mimiiiiiiiiiiiii, subiri nijiangalie kama ni kimbaumbau au tukunyema. maana mimi sijijui nipo kundi lipi.
Hapana ni hivi: AKILI ya mwanaume inawaza manamke na akili ya mwanamke inawaza zake pesa. kwa hiyo mwanamke anatafuta pesa zake na bado anatafutiwa nyingine na mwanaume. dah! jamani raha sana
Mwanamke wa kiafrika sifa ni kufungasha....ukiwa mwembamba halafu nyuma mzigo mambo ni ✅✅✅✅✅✅
Hapana ni hivi: AKILI ya mwanaume inawaza manamke na akili ya mwanamke inawaza zake pesa. kwa hiyo mwanamke anatafuta pesa zake na bado anatafutiwa nyingine na mwanaume. dah! jamani raha sana
nimeamini mwanamke anasumbua dunia kuliko hata pesa. Na badoo.
Ni kiumbe muhimu sana duniani pamoja na kwamba huwa tuna kizaraunimeamini mwanamke anasumbua dunia kuliko hata pesa. Na badoo.