Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Wewe ni pm nna zawadi yako
Thamani ya zawadi plz!!!!!!!, sipokei kadi , maua, wala laki ya batook napokea cheque na gari tu. kidding
Wewe ni pm nna zawadi yako
ila na cha moto huwa mnakipata... huwezi pewa hela bure bure!!!!
Tulishaambiws tutatafuta kwa jasho...ila kajasho kote kanaishia kwenu. .
ndio maana tunawapaga pole na kazi.
ndio maana tunazisaka kwa bidii ili tuwaridhishe, I like portable girls.
Teh...ya kitandani au ya kipato
Pole za kazi zote.
Nadhani ni sahihi zaidi kusema mwanamke anasumbuliwa sana duniani kuliko pesa
Apa enyew hii thread duuh nmechokaaa
Kama umechoka kalale basi.
Ni kiumbe muhimu sana duniani pamoja na kwamba huwa tuna kizarau
Heeee! umenifurahishaje mie.
Hilo halina ubishi hasa pale ambapo amani inatawala kwenye mahusianoUmeonaeee.
Chamoto nini na wew kwani vita ile. starehe ya wote alafu mwanamke anaongezewa na pesa na huduma kemkem. cha moto kiko wapi????????
ndo maana mimi huwa nawakomoaga kwa kiwala 0713
kuna watu wembamba ila maeneo ya kati mashallaaah!