Sifa za wanawake wembamba

Sifa za wanawake wembamba

wembamba wana nyodo na dharau wanajiona wazuri ndo kila kitu kumbe hawana lolote hovyo,mie nawaambia wanawake wazuri wale size yakati siyo bonge siyo mnene maana wako vizuri kote kote kwa bed ndo usiseme
 
wewe kijana hivi unajua size za mwanamke mnene na mwembamba kwa hawa watu weupe?
 
Mwanamke wa kiafrika sifa ni kufungasha....ukiwa mwembamba halafu nyuma mzigo mambo ni ✅✅✅✅✅✅
 
Kwa kweli me niko kama sheikh kipozeo napenda wale walojaza "neema" za Allah......nyie pendeni hao wembamba,me siwapendi. itokee tuu.......
 
Sifa kuu uliyoisahau ni kuwa wana PAPUCHI kubwa mnooo
 
Back
Top Bottom