Sifa za wanawake wanaopenda kuvaa madela

Sifa za wanawake wanaopenda kuvaa madela

Mimi sina sifa tajwa hata moja... na nikishinda home ni Madera kwenda mbele. Na nimeolewa na watoto juu ...
Hebu tupishe na research yako ya kwa mtogole.
Kwa kushinda tuu home sio mbaya madame wa mr
 
khaaa mtoa.post umeachwa a nini.mbona wako pambee sanaa tyuuuu
 
Nilichokiona ni chuki binafsi mbona wale wauza papuchi maarufu vibandani hawavai madera lakini wanaongoza kwa ufirauni hadi wanapelekewa matetemeko
No this is going to far.Unapomnyoshea mwenzio kidole,ni vidole vingapi vinakuelekea wewe?Sio busara kuhukumu wengine,wakati na sisi tuna yetu.
 
Mimi sina sifa tajwa hata moja... na nikishinda home ni Madera kwenda mbele. Na nimeolewa na watoto juu ...
Hebu tupishe na research yako ya kwa mtogole.
Kweli huyu mleta maada sijui katokea wapi? Kutwa nzima umeshinda umejibana kwa mavazi ya kiofisi, kanisani harafu ufike nyumbani bado uendelee na nguo zakujibana heeee!!! Hapa dera kwa raha zetu litahusika maana unauachia mwili upumue kwa raha tena kama anakerwa anywe sumu asiwaone wavaa madera
 
Kinyume cha uzi huu ni kuwa wachangiaji wote wanaopinga madera ni
1.Aidha wamekuja na treni/garimoshi
2.Stand yao kuu hapa mjini kwenda vijijini ni Ubungo
3.Aidha walikuwa walimaji wazuri
4.Ni wageni katika utamaduni wa Dar es salaam ni mikoa jirani ya Tanga na Pwani
5.Sio wazaliwa wa Dar esalaam au mikoa ya jirani
6.Walikuja Dar es salaam na sio wenyeji wa Dar (ni wa vijijini tena mikoani)
7.Watakuwa wana hulka za kilokole
8.Wanapeanda sana utamaduni wao wa kijijini lakini hauna nafasi Dar es salaam na mikoa ya Pwani(pwani/tanga nk)
9.Wambea na wanapenda kufuatilia issue za kina mama
10.Waongeaji wazuri wa vilugha wanapokuwa wamekutana

Any way huwa nafurahi nikimuona msichana amevaa dela na hasa awe mweupe kidogo alaf wae na cheni shingoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom