Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,469
Dera bila chura ni kama kanzu tu 


Hahahahaaa tuache tuNilikuwa na mpango wa kununua moja, lakini baada ya uzi huu nimeghairi.
ha ha ha ha kwel mkuu tuko tofaut sana juu ya hilo mim ndio ugonjwa wanguAise tumetofautiana siipendi ile tabia yani unakuta li dera lenyewe kanunua refu then analichomekea kwenye pichu utafikiri mafundi cherehani wa kuyapunguza hakuna mi huwa naona ni njia wanayotumia kuwatega wanaume
Poa nitasimama hapo nikitoka town jioni no niko mwisho kule zingiziwaKaribu Kwa dadi
Msumbiji? Napitaka mitaa ya lukooni hukoPoa nitasimama hapo nikitoka town jioni no niko mwisho kule zingiziwa
akh!!! msubaUna exaggerate. Simaanishi uswahili huu wa mtanzania anayeongea kiswahili. Nazungumzia tabia za watu waishio pwani
Watu wana stress zao na jf ndio sehemu ya kuja kupumulia hizo stress so usishangae sana mkuu,vituko havitakaa vikaisha .Dah, weekend zina mambo! Ni kama vile threads za weekend watu wanazianzisha baada ya kupata yale mambo ya kwenye stuli ndefu.
Vv
Malimbukeni flani wabinafsi. Achana nao, sisi maborn town bwana... Wakija kustuka washachelewa sisi tuko next level. Rais wa kwanza kuwavalisha mitumba mzaliwa wa Kisarawe, wangevaa kaniki za babu yao mpaka waote sugu tupuni. Fadhilaka wapundaka...Kwa kweli hawa wenzetu ni washenzi sana,unaona hata sasa hivi pamoja na yote yanayoendelea katika utawala huu lakini kimya kabisa,nina uhakika haya haya kama ingekuwa ni wakati wa Kikwete ungesikia kelele kila kona kuanzia kwa wanaojiita viongozi wa dini hadi wale waganga njaa wanaojiita watetezi wa haki za binadamu,binafsi siwapendi.
You kill it my nigga. Shikamoo mara thenashara...Simple minds discuss people
Average minds discuss events
Greater minds discuss ideas
Unaweza kujiangalia wewe mwenyewe upo wapi
Kwani ukanda wa Pwani kuna dini moja tu?Hiyo mada ya dela kama hujagundua imeficha lengo halisi la chuki na ubaguzi dhidi ya watu wa ukanda wa pwani angalia hoja no.9 utagundua kitu,ni washenzi tu
Dera bila chura no kama kanzu tuKama kuna vazi limenishinda basi hili la kwanza, navaa msibani tu. Ila ukiweka hizo sifa kando..yapo madera fulani mazuri na kuna watu yanawapendeza sana
SubuhanaAllahPia hupenda sana nguvu za giza kuiba waume wa wenzao na kuwafanya misukule yao.
Mwanangu mwenyewe uyooo! Oi oi....khaaa mtoa.post umeachwa a nini.mbona wako pambee sanaa tyuuuu
Mwana Dar es Salaam...Kinyume cha uzi huu ni kuwa wachangiaji wote wanaopinga madera ni
1.Aidha wamekuja na treni/garimoshi
2.Stand yao kuu hapa mjini kwenda vijijini ni Ubungo
3.Aidha walikuwa walimaji wazuri
4.Ni wageni katika utamaduni wa Dar es salaam ni mikoa jirani ya Tanga na Pwani
5.Sio wazaliwa wa Dar esalaam au mikoa ya jirani
6.Walikuja Dar es salaam na sio wenyeji wa Dar (ni wa vijijini tena mikoani)
7.Watakuwa wana hulka za kilokole
8.Wanapeanda sana utamaduni wao wa kijijini lakini hauna nafasi Dar es salaam na mikoa ya Pwani(pwani/tanga nk)
9.Wambea na wanapenda kufuatilia issue za kina mama
10.Waongeaji wazuri wa vilugha wanapokuwa wamekutana
Any way huwa nafurahi nikimuona msichana amevaa dela na hasa awe mweupe kidogo alaf wae na cheni shingoni
Hii research yako bila shaka uliifanyia Tandale au mburahati au manzese na maeneo mengine yanayofanana na haya, kwaiyo uliwafanyia research watu wanaofanana kufikiri hukuwa research watu wenye mitazamo tofati tofauti huwez kusema umefanya research kwa kuhoji kundi moja tu la watu wenye uelewa ulio sawa, ungechanganya kidogo ungekwenda kwa wenye tabia hizo ungekwenda kwa wasio tabia hizo na pia ungekwenda kwa wasio vaa alafu ungejumuisha Mawazo yako, hii style uliyotumia wewe ni style kandamizi na dharirishi haikubaliki kututukana wanawake kwa namna hii, Leo hii nikivaa Dela nionekane ni mtu nisiyeeleweka Kwann usingetumia neno "Baadhi yao" badala ya kutukana wote wanaovaa madelaIssue zipi ndogo ndogo?
unamaanisha utu, asili na utamaduni wetu ni issue ndogondogo
Haya mambo ni uchafu na huwezi kuyapuu
umbeya, kujikoboa nk issue ndogondogo
You're not serious.
Navaa sana madera ila sijui kama nina hizo sifa