Sifa za wanawake wanaopenda kuvaa madela

Sifa za wanawake wanaopenda kuvaa madela

Kumekuwa na upotoshaji "kisarufi" ktk matumizi ya maneno mengi ya kiswahili na hata English pia ...
Neno "mswahili" namna litumikavyo leo na jamii kubwa limepotoshwa kama vile matumizi ya neno "msanii"
Mimi nilitolea maamuzi kutokana na linavitumika hata kama limepotoshwa
 
Makuta umenena vema kabisa.Kwa kweli nakupa heshima yako Kwa kutetea mafazi ambayo yanahusishwa Na ukakasi Ktk midomo
Mimi nilikuwa sijui vimini,vijeans vilivyo chanika chanika Na kuvaa vinguo vya ajabu ajabu NI mavazi ya KiTanzania.
Makuta heshima kwako

Ndugu Nashukuru,ndio ujionee Bongo ilivyo na watu wenye mitazamo hasi na wamekua wengi siku hizi mpaka wanakosa cha kujadili,yaani hata ukiwa una dansi kwenye maji watakwambia unawatimulia vumbi, yaani kwao wao siku zote ni negative hakuna positive na hawataki kuyaangalia maisha katika mwanga bora,wanapenda giza tu.
 
Utafiti wako haujakamilika! Kama chanika hilo ndo vazi lao! Uwe umeolewa au singo!! Mstaarabu au kicheche!
Hahaha unakaa kitaa kipi nije nikutembelee jirani yangu maana huwezi fahamu hili kama hujakaa kule
 
Mimi ni mzaramo pia ninaishi mitaa inayoongoza kwa kuvaa madela na asilimia kubwa ya wavaa madela sifa zao zipo hapo.Mleta mada amelenga kwa takribani 60 percent.Madela yanatumika kama sale za shuguli na pia wasasambuaji wengi uswahilini including machoko.Huko mikoani hayavaliwi kwa asilimia kubwa kama pwani.

Cham Bee Kwa hiyo Wewe ni Mzaramo Na unakubaliana Na Mtoa mada matusi yote hayo.
Maana dadaZako,mashangazii wako nao wanavaa hayao MADERA Au wanavaa vimini Na vijinzi vilivyo chanika chanika.
 
Mi ile style yao ya kulichomekea kwenye nanihii hua inanipa raha sana......
Aise tumetofautiana siipendi ile tabia yani unakuta li dera lenyewe kanunua refu then analichomekea kwenye pichu utafikiri mafundi cherehani wa kuyapunguza hakuna mi huwa naona ni njia wanayotumia kuwatega wanaume
 
Kama kuna vazi limenishinda basi hili la kwanza, navaa msibani tu. Ila ukiweka hizo sifa kando..yapo madera fulani mazuri na kuna watu yanawapendeza sana
Ni vazi zuri sana tena la heshima hebu angalia wakivaa waarabu wanavyopendeza hata wapemba pale ferry huwa wananivutia haswa ila hawa dada zetu ngozi nyeusi ni matatizo
 
Cham Bee Kwa hiyo Wewe ni Mzaramo Na unakubaliana Na Mtoa mada matusi yote hayo.
Maana dadaZako,mashangazii wako nao wanavaa hayao MADERA Au wanavaa vimini Na vijinzi vilivyo chanika chanika.
[emoji23] Usidhani ukinitisha nitapoteza uelekeo.Hata manabii walikuwa na misimamo lakini katika familia zao kulikuwa na washenzi waliowarudisha nyuma.Na isitoshe nimekuambia takribani 60 percent ni kweli,sasa ndugu zangu wengine wamo humo wengine hawamo.Niulize tena..
 
Mbaya zaidi hadi wakuja wanafata mkumbo na kujifanya waasisi wa madela...
 
Mijitu ya bara na hasa makafiri ni mijitu yenye chuki ya hali ya juu sana na watu wa ukanda wa pwani,hii mijitu hata ukiwa nayo sehemu za kazi watakusakama kwa majungu hadi wahakikishe wamekung'oa ndio roho zao zinatulia,ni Ibilisi sana.

Mkuu sio wote.Mtoa mada Na gurupu lake ndio kazi yao kutujaribu.Waumuni wa kweli hawana tabia za chuki.Naishi Na Waumini wa DIni tofauti Na Watu wasio amini vile vile hawana haya machuki ya ajabu.
 
Kwa kweli hawa wenzetu ni washenzi sana,unaona hata sasa hivi pamoja na yote yanayoendelea katika utawala huu lakini kimya kabisa,nina uhakika haya haya kama ingekuwa ni wakati wa Kikwete ungesikia kelele kila kona kuanzia kwa wanaojiita viongozi wa dini hadi wale waganga njaa wanaojiita watetezi wa haki za binadamu,binafsi siwapendi.
Mada ya dera kujibiwa kwa hoja za udini na kisiasa nalo ni janga la kitaifa...by the way. ..huna haja wala sababu ya msingi kuwachukia watu wa imani nyingine kwakuwa hawaukosoi utalala ulioko madarakani.....pia time sababu ya kuwachukia wenye imani tofauti na yako sababu hata wewe unakarihishwa juwa mmoja wa wenye imani hiyo kama ambayo nawe ungefurahi kusikia nimejiunga na iman yake.
 
Simple minds discuss people
Average minds discuss events
Greater minds discuss ideas

Unaweza kujiangalia wewe mwenyewe upo wapi
 
Mimi sina sifa tajwa hata moja... na nikishinda home ni Madera kwenda mbele. Na nimeolewa na watoto juu ...
Hebu tupishe na research yako ya kwa mtogole.
Nawewe unayachomekeaga kwenye pichu? Sipendi kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom