Sifa za wanawake wanaopenda kuvaa madela

Mimi ni mzaramo pia ninaishi mitaa inayoongoza kwa kuvaa madela na asilimia kubwa ya wavaa madela sifa zao zipo hapo.Mleta mada amelenga kwa takribani 60 percent.Madela yanatumika kama sale za shuguli na pia wasasambuaji wengi uswahilini including machoko.Huko mikoani hayavaliwi kwa asilimia kubwa kama pwani.

Ni kweli hizi nguo zinavaliwa sana na watu wa pwani au mwambao,lakini tukija kwenye suala la tabia mara nyingi halisababishwi na nguo tabia ni ya mtu mwenyewe na malezi yake au makuzi yake,kwani hujawahi kumkuta choko mvaa jeans au suti? jibu wapo, na hao wanawake wa uswahilini wanazivaa sana kwa kuwa ni nguo simpo isiyohitaji maandalizi yoyote ili mradi safi wao wanavaa tu ntolee kama ni hospitali au msibani imetoka hawana haja ya kunyoosha wala nini.
 
Inaonesha dela ni sehemu ya maisha yako Bid D..
 
Sehemu ya maisha yangu kivipi? nazifahamu kwa kuwa ni nguo za wasomali kama zilivyo SARI nguo za wahindi au nguo za kinigeria,hayo madela nimeyafahamu kutoka kwa wanwake wa kisomali hizo ndio nguo zao,kwani hata nilipoanza kuwaona wanawake wa kitanzania wanavaa mi mwenyewe nilishangaa kuona kuwa sasa imeanza kuwavaliwa na wabongo,so nazifahamu miaka mingi sana,sijazifahamu ukubwani nimezifahamu toka nikiwa mdogo,ndio maana napinga kuzihusisha na tabia za ajabu kama watu wanavyotaka kuaminishwa.

Basi bongo madela hayatendewi haki.Hata wasomali wanaoishi hapa wanajua jinsi yanvyofujwa.
 
Nimejaribu kufanya research ndogo ya mademu wanaopenda kuvaa madera. Matokeo niliyoyapata:
1. Wanapenda taarabu na vigodoro, kwenye rusharoho huko balaa
2. Waongo, wambeya na washinda vibarazani
3. Wengi hawajaolewa
4. Ni kero kwa wanaume yaani ukikutana nae tu anaomba umnunulie chipsi
5. Ni mabingwa wa kuvuruga ndoa za watu na wanapenda kutembea na waume za watu
6. Wana matusi na hawaangalii wakati wala eneo alilopo. Matusi anayoporomosha hata kwa mtoto wake utafikiri alibakwa
7. .... ongezea

Barafuyamoto
8. Asilimia kubwa wanajichubua, unakuta knuckles nyeusii tiii ila sura "nyeupe".

9. Wengi ni wazaramo, wenyeji wa Tanga, in short wa mwambao etc!

10. Waswahili, ustaarab zero!

11. Wengi ni failure wa shule TENA la saba au ni drop out wa sekondari.

12. Kitandani wengi wako poa.

13. Akipokea simu kwenye Dala dala halafu awe amesimama abiria mtakoma kila mtu atajua anacho ongea, akianza kucheka...

Pia hupenda sana nguvu za giza kuiba waume wa wenzao na kuwafanya misukule yao.
 
Nilikuwa na mpango wa kununua moja, lakini baada ya uzi huu nimeghairi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kelele za chura mtoni .... ng'ombe yeye anakunywa tu maji ..... Usiikatili nafsi yako mamiii 7bu ya wazo la mtu .... EBU ITUPIE UTOKELEZEE NA AKINA BUSY BEES TUKUONE [emoji1] [emoji1]
 
Sehemu ya maisha yangu kivipi? nazifahamu kwa kuwa ni nguo za wasomali kama zilivyo SARI nguo za wahindi au nguo za kinigeria,hayo madela nimeyafahamu kutoka kwa wanwake wa kisomali hizo ndio nguo zao,kwani hata nilipoanza kuwaona wanawake wa kitanzania wanavaa mi mwenyewe nilishangaa kuona kuwa sasa imeanza kuwavaliwa na wabongo,so nazifahamu miaka mingi sana,sijazifahamu ukubwani nimezifahamu toka nikiwa mdogo,ndio maana napinga kuzihusisha na tabia za ajabu kama watu wanavyotaka kuaminishwa.
Na niongeze tu kuwa kwa mtazamo HASI wa walio wengi humu JF na huko mitaan juu ya "nguo hizi" usiwaharibie HESHIMA dada, mama, shangazi zetu nk .... coz wapo wazivaao kwa heshima kabisa wakiwamo wengine hasa kipindi cha UJAUZITO
 
Hakuna shida ila bora tukubaliane kutokukubaliana basi! Kwanza Derah sio asili yetu, sio vazi la kitanzania, vazi letu ni gauni, kangha na au kitenge, huu utandawazi ndio unaleta sheeda, global village ni hataree! mleta mada ana hoja bro, usimtupe kapuni, kuna kitu kakiona, Msome tena kisha UTAFAKARI!

MTK mleta mada anachuki Na "Waswahili" bila ya kumung'unya maneno WAISLAMU ndio anachuki nao.Huwezi kuchukua asilimia ndogo ya jirani zake Na kusema eti hawaja soma,waongo Na yote aliyo andika.
Makamu wa Raisi Anavaa dera,Waziri mdogo wa fedha anavaa Na bila ya kumsahau waziri wa afya Je nahawa wameishia la saba?
Kuvaa suti Na tai au kuvaa vimini NI mavazi ya KiTanzania?
Chuki chuki chuki
 
Ni kweli hizi nguo zinavaliwa sana na watu wa pwani au mwambao,lakini tukija kwenye suala la tabia mara nyingi halisababishwi na nguo tabia ni ya mtu mwenyewe na malezi yake au makuzi yake,kwani hujawahi kumkuta choko mvaa jeans au suti? jibu wapo, na hao wanawake wa uswahilini wanazivaa sana kwa kuwa ni nguo simpo isiyohitaji maandalizi yoyote ili mradi safi wao wanavaa tu ntolee kama ni hospitali au msibani imetoka hawana haja ya kunyoosha wala nini.

Makuta umenena vema kabisa.Kwa kweli nakupa heshima yako Kwa kutetea mafazi ambayo yanahusishwa Na ukakasi Ktk midomo
Mimi nilikuwa sijui vimini,vijeans vilivyo chanika chanika Na kuvaa vinguo vya ajabu ajabu NI mavazi ya KiTanzania.
Makuta heshima kwako
 
Nimejaribu kufanya research ndogo ya mademu wanaopenda kuvaa madera. Matokeo niliyoyapata:
1. Wanapenda taarabu na vigodoro, kwenye rusharoho huko balaa
2. Waongo, wambeya na washinda vibarazani
3. Wengi hawajaolewa
4. Ni kero kwa wanaume yaani ukikutana nae tu anaomba umnunulie chipsi
5. Ni mabingwa wa kuvuruga ndoa za watu na wanapenda kutembea na waume za watu
6. Wana matusi na hawaangalii wakati wala eneo alilopo. Matusi anayoporomosha hata kwa mtoto wake utafikiri alibakwa
7. .... ongezea

Barafuyamoto
8. Asilimia kubwa wanajichubua, unakuta knuckles nyeusii tiii ila sura "nyeupe".

9. Wengi ni wazaramo, wenyeji wa Tanga, in short wa mwambao etc!

10. Waswahili, ustaarab zero!

11. Wengi ni failure wa shule TENA la saba au ni drop out wa sekondari.

12. Kitandani wengi wako poa.

13. Akipokea simu kwenye Dala dala halafu awe amesimama abiria mtakoma kila mtu atajua anacho ongea, akianza kucheka...
hao hao ndio wamekufundisha ustarabu kwani hakuna ubishi kua ustarabu ulianza pwani kwa hao waswahili
 
Povuuuuuuuuu sana. Yaani nikishamuona dem kavaa dera hata kama ilikua imesimama inanywea sekunde. Sipendi mwanamke wa kiswahili hata siku moja niko radhi nimpige risasi nikiruhusiwa.
kwani mswahili nini maana yake unajielewa kweli wewe
 
Kama kuna vazi limenishinda basi hili la kwanza, navaa msibani tu. Ila ukiweka hizo sifa kando..yapo madera fulani mazuri na kuna watu yanawapendeza sana
wewe huwa unavaa nini kimini ama!!!!
 
Navaa sana madera ila sijui kama nina hizo sifa
Mtoa mada ni wakuja, probably wa dini ya Vatican... Wana phobia flani na watu wa Pwani, na hizi ndio sarakasi zao.
Hivi familia gani leo hii wana wake zao hawavai dera... Haya ni matusi kwa dada na mama zake maana Nina uhakika wanavaa kwa kuiga hao anaowatusi.
 
Unaelewa nini ukisikia mtu anasema " huyu jamaa ana mambo ya kiswahili"?
Kumekuwa na upotoshaji "kisarufi" ktk matumizi ya maneno mengi ya kiswahili na hata English pia ...
Neno "mswahili" namna litumikavyo leo na jamii kubwa limepotoshwa kama vile matumizi ya neno "msanii"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom