Sifa za wanawake/wadada wanene

kwani mimi ni instrument mpaka nifanyiwe majaribio
sifa yangu mojawapo ni kuwa najua kukomaa na misimamo yangu....hijalishi nani anaionaje as far as haivunji sheria za Muumba wetu....

shaka ondoa huyo Masa wee mwache tu.....!!!!

mwanamke mwenye misimamo
ni more sexy sometimes....
 
JS umeniondolea appetite ya kula....


Yeuwiiii sikujua ulikuwa unakula mpenzi ni kapicha tu hako lakini usishindwe kula bwana you know i want you to be fit na healthy eeee????? pliz eat pliiiizzzzzzzz eat!!!
 
Yeuwiiii sikujua ulikuwa unakula mpenzi ni kapicha tu hako lakini usishindwe kula bwana you know i want you to be fit na healthy eeee????? pliz eat pliiiizzzzzzzz eat!!!

eeeeeeeh!!!
nimesoma katikati ya maneno
 


Huyu hapa basi wadau Kimey na Boss nisizidi kuharibu siku

Huyu anatuwakilisha kisize some of us kama mimi na BHT
 


Huyu hapa basi wadau Kimey na Boss nisizidi kuharibu siku

Huyu anatuwakilisha kisize some of us kama mimi na BHT
he he he he afadhali bibie siku itakua nzuri ile ya kwanza ukisoma between lines ujumbe umefika!! hapo kwenye RED one day YES will c u!!
 
firstlady..
ukichukua wanawake kumi wanene
unakuta wanatabia zinazofanana...
na ukichukua wembamba kumi utakuta
the same,wembamba hasa tabia ya kuwa selfish.......
Wanawake wanene......
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....
ukiwacheat husamehe upesi....
Source: the Boss..(2010)
1.Kama source ya findings ni wewe mwenyewe..mhhh nakuvulia kofia... utakuwa wote hao umewa subject to the same experience with you....... hadi ukafikia tamati kuwa wanene wako hivi na wembamba wako vile.
sidhani kuna mtu atavunja rekodi hii ispokuwa wewe mwenyewe.

2. Few questions out of curiosity..
a. Hiyo sample yako ilikuwa ya wanawake kutoka wapi - Tanzania tu, Afrika, weusi tu, wenye umri mdogo au wa kati au wazee, wenye uwezo au maskini, waliosoma au wasiosoma, etc... hii ni muhimu kujua kama kweli hili hitimisho ni sahihi.
b. Huu utafiti wako ulichukua muda gani hadi ukapata findings
c. nashawishika kukuuliza mengi lakini niishie hapa kwa sasa.
 
he he he he afadhali bibie siku itakua nzuri ile ya kwanza ukisoma between lines ujumbe umefika!! hapo kwenye RED one day YES will c u!!

JS eeeh mi nasepa nikaendelee kumaintain hii figure yako sehemu sehemu........

@the boss hebu tanua wigo wa research yako upate matokeo mapana zaidi bana!!!!

am out sweeties!!!
kuweni waangalifu.................
 
Hii thread inanikumbusha thread nyingine tuliyowahi kuijadili hapa juu ya tofauti kati ya wanaume wafupi na wanaume warefu: kwamba wafupi wana hasira, hawajiamini, wakali, nk kinyume na warefu. Sasa hii ya wadada, mmmh! mi sina uhakika sana lakini naona Boss hajakosea sana. Wadada wembamba ni moto wa kuotea mbali kwa kweli: hawana masihara. Wanafanana kitabia na wanaume wafupi.
 

Similar Discussions

46 Reactions
Reply
Back
Top Bottom