Sifa za wanawake/wadada wanene

Sifa za wanawake/wadada wanene

Hahahaha itakuwa biliani tu si wajua mambo ya Zenji hayo bila biliani hujafika Unguja.


fide umeelewa hapo?
ndizi nyama,mdada anaanda nyama,kidume unakuja na ndizi
tena ndizi mshale.......
 
mbona nin tabia nyingine similar na hao w athe boss....!!!
nia yangu hapa ni kumwonesha kuwa it is not the size inayofanya mtu awe na tabia fulani....nah nah nah!!!!

Biggy umenionea Masanilo??

Nipo hapa nakuchungulia maungoni Lol!
 
hebu describe tabia zako
labda wewe ni exceptional case.......

hizi hapa

1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.naomba msamaha nikikosa tu not otherwise
6.argumentative (logically though)
7.sideki wala kudekeza (sina muda )
8.watiifu.
9.naringa kidogo(kama mtoto wa kike).
10.kumbukumbu yangu iko poa sana so sisahau haraka kiivyo.....
 
Kwani kuna pilau gani zaidi ya mchele???? Au mwataka niwaonyeshe jinsi yavyoliwa (lafudhi ya kizenj hapa inatumika)......


mhhh.we mzenji?????
 
mwaya huyo boss asikutishe mi wala sihangaiki JS

najua am not selfish
najali
sideki wala sidekezi (ni tabia yangu walal umbo langu halihusiani na hii)
najali sana tu....etc

shauri yako utajilazimisha kul ujiute unalia na sahani maana u cant eat more that your capacity
JS bonge wangu baki hiv hivo

Tubaki hivi hivi mwaya BHT achana na Boss anataka kutuharibia tu wasifu wetu. Sie tunaroho nzuri kama za hao anaowasifia.
 
Tubaki hivi hivi mwaya BHT achana na Boss anataka kutuharibia tu wasifu wetu. Sie tunaroho nzuri kama za hao anaowasifia.

huu mwili kuupata gharama atiii

ona watu wanavolipia gym huko....sie akhaaa!!!
kwa raha zetu bibie eeeeh!!!
 
Ametoroka kwenye rehabilitation. Gari la konyagi lilipita karibu mpango mzima ukaharibika. The guy is alcoholic!

hahaa kama yule mama ake Tony huyu

chupa tu inamtoa roho.....
 
huu mwili kuupata gharama atiii

ona watu wanavolipia gym huko....sie akhaaa!!!
kwa raha zetu bibie eeeeh!!!

Yani BHT hapo kwenye bluu ndo haswaaa umenena watu wanahangaika gym kila siku sie tukienda gym ni kujikeep fit tu na sio kupunguza unene.

The Boss upo hapo??????
 
sasa unaona.
wenzio wanene wanasamehe tu,regardless ya kosa.......

sasa hiyo unaona ni shortfall ya mtu mwembamba au BHT??

hebu muulize JS tusikie jibu.....hahaaaa lol!!
 
Yani BHT hapo kwenye bluu ndo haswaaa umenena watu wanahangaika gym kila siku sie tukienda gym ni kujikeep fit tu na sio kupunguza unene.

The Boss upo hapo??????

hukunijibu swali hili..
we ni mzenji??
nina weakness na wadada wa kizenji.
 
Back
Top Bottom