Sifa za wanawake/wadada wanene

The Boss hata siamini huu uchunguzi wako
sina hakika kama kuna ukweli wowote
Moyo wa mtu umeficha mengi sana ..kusamehe ,ukorofi ,mapenzi ni hulka ya mtu ni si umbo lake

firstlady..
ukichukua wanawake kumi wanene
unakuta wanatabia zinazofanana...
na ukichukua wembamba kumi utakuta
the same,wembamba hasa tabia ya kuwa selfish.......
 
Inabidi niongeze kasi ya kula kama mambo yenyewe ndo haya................Naona Boss umetuchoka watu wasio wanene

mmmh utaweza maana na size ya tumbo inahusu my dear....
 
mmmh utaweza maana na size ya tumbo inahusu my dear....

Nitaweza tuu BHT kautumbo si katapanuka na kuwa kakubwa ka kubeba msosi...........
icon10.gif
 
Wembamba mkazane kula kuna dawa za kichina za kuongeza unene anae hitaji anione p'se.
 
Karibuni pilau wadau ndo nishaanza mchakato wa kuwa kabonge!!!!!!!!
 
Nitaweza tuu BHT kautumbo si katapanuka na kuwa kakubwa ka kubeba msosi...........
icon10.gif

mwaya huyo boss asikutishe mi wala sihangaiki JS

najua am not selfish
najali
sideki wala sidekezi (ni tabia yangu walal umbo langu halihusiani na hii)
najali sana tu....etc

shauri yako utajilazimisha kul ujiute unalia na sahani maana u cant eat more that your capacity
JS bonge wangu baki hiv hivo
 
Si unaona sasa ulivoreveal wasifu wa umbo lako?

Lengo la the boss linaanza kutimia.
 
Si unaona sasa ulivoreveal wasifu wa umbo lako?

Lengo la the boss linaanza kutimia.

mbona nin tabia nyingine similar na hao w athe boss....!!!
nia yangu hapa ni kumwonesha kuwa it is not the size inayofanya mtu awe na tabia fulani....nah nah nah!!!!

Biggy umenionea Masanilo??
 
mbona nin tabia nyingine similar na hao w athe boss....!!!
nia yangu hapa ni kumwonesha kuwa it is not the size inayofanya mtu awe na tabia fulani....nah nah nah!!!!

Biggy umenionea Masanilo??

hebu describe tabia zako
labda wewe ni exceptional case.......
 
mbona nin tabia nyingine similar na hao w athe boss....!!!
nia yangu hapa ni kumwonesha kuwa it is not the size inayofanya mtu awe na tabia fulani....nah nah nah!!!!

Biggy umenionea Masanilo??
Ametoroka kwenye rehabilitation. Gari la konyagi lilipita karibu mpango mzima ukaharibika. The guy is alcoholic!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom