Basi na hizi ndio madhara ya kuwa nao:
1. Atawasamehe ma ex- wake wote, hivyo kamwe hautokuwa peke yako, bali utakuwa umeongeza idadi tu.
2. Atawaomba msamaha hata ma ex- wake, ili aendelee kujivinjari nao daima.
3. Huenda pia akikuacha basi hutamuona tena maishani mwako
4. Ole wako ampate aliyempenda zaidi yako, utajuta kumfahamu.
5. Rejea namba 2 hapo juu.
6. Hata wakibanwa kwenye korido wanakubali yaishe.
7. Hivyo sio wachapakazi, na akimpata mtu hutamng'atua kamwe.
8. Hata akiitwa baa usiku hagomi kwenda hata siku moja, na akiambiwa fanya hivi, anafanya shap.
9. Hivyo, hata machokora wanapata access.
10. Hata kupika, kuoga, kutandika kitanda, nk.... wanasahau kwa urahisi mno.