Sifa za wanawake/wadada wanene

hahaaa huo mtandao not reachable bana, hiyo miwani lensi zimezeeka tafuta nyingine....
Watu wanajaribu kila siku kuona kama mtandao unashika hata bar moja.
siku watabahatisha!! ohhhoooooo!
 
Watu wanajaribu kila siku kuona kama mtandao unashika hata bar moja.
siku watabahatisha!! ohhhoooooo!

afu cha kushangaza hawakati tamaaaa loh!!!

hakibahatishwi kitu hapa B.......rest assured of that!!
 
sasa hiyo unaona ni shortfall ya mtu mwembamba au BHT??

hebu muulize JS tusikie jibu.....hahaaaa lol!!

hukunijibu swali hili..
we ni mzenji??
nina weakness na wadada wa kizenji.

Nilikujibu. mimi si mzenj ni mtanzania halisi mwenye asili ya kichagga

JS,,maoni yako please...

Hata sie vimbaumbau tunasamehe sana tu si lazima mtu awe mnene ndo ajue kusamehe. Kiri kosa utasamehewa
 
nafuatlia hayo mazungumzo ya huo mtandao unaopanuka.
nashtuka,wasije kukujaribu tu.......

kwani mimi ni instrument mpaka nifanyiwe majaribio
sifa yangu mojawapo ni kuwa najua kukomaa na misimamo yangu....hijalishi nani anaionaje as far as haivunji sheria za Muumba wetu....

shaka ondoa huyo Masa wee mwache tu.....!!!!
 
firstlady..
ukichukua wanawake kumi wanene
unakuta wanatabia zinazofanana...
na ukichukua wembamba kumi utakuta
the same,wembamba hasa tabia ya kuwa selfish.......

On the other side, wanaume wanene, warefu kuanzia kimo cha 5.5 - 5.8, wenye vitambi vya wastani na upara wana sifa ambazo wanawake wengi wangependa waume zao wawe nazo.
 
kwani mimi ni instrument mpaka nifanyiwe majaribio
sifa yangu mojawapo ni kuwa najua kukomaa na misimamo yangu....hijalishi nani anaionaje as far as haivunji sheria za Muumba wetu....

shaka ondoa huyo Masa wee mwache tu.....!!!!

tafadhali bana usiwe mnyimi kitu kama unacho!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom