sifa za wanawake wa Kinyiramba

Status
Not open for further replies.
Miss Jay naweza kukununulia dinner!?
 
habari ndio hiyo
 
mie ni mnyiramba mchanganyiko na kabila moja nyanda za juu kusini sifa zangu baadh ni

1.upendo wa dhati kwa..nikipenda huwa siangalii hali ya mtu kiuchumi maadam tuelewane na kuridhiana inatosha

2.huwa sipendi kuendeshwa katika mapenzi hivo nikijua kuwa unanizingua kukuacha na sekunde sisubili uniache na hii ndio inafanya watu watuone malaya lakini si kweli

3.wakarimu sana tena sana pia walezi wazuri wa familia pasipo matabak roho mbaya hatujajaaliwa

4.najitoa sana kwa maan kwamba mtu nikimfaham au awe jirani nami moyo wa kujitoa ninejaaliwa

5.nina hasira sana japo hazidumu kwa mda mrefu huwa siwezi kutunza hasira moyoni nikiudhiwa basi baada ya mda mfupi inaisha.

6.nina maamuzi ya haraka nikikasirika na nikisema noo ni noo sitaki kupingwa wala kuingiliwa katika maamuzi yangu

7.kwa usafi mashalaah nimejaaliwa si wa mwili tu namaanisha mavazi, ndani, mwili n.k

8.ni binti ninayejituma san katika kazi sababu sipendi kuomba na kuwa tegemezi nikikwam zaidi basi watahusika wazazi si kuombaomba hovyo

9.kuhusu mapishi yote nasifiwa kiukweli ya chakula na upande wa pili

10. ninaweza kuishi sehemu yoyote kwa mazingira yoyote sbb namuheshimu kila mmoja lakini kubwa nijivunialo tamaa za kijinga sina naridhika na hali yangu au ya mwenza wangu kwa wakati huo...lakini wivu wa maendeleo ninao sana

zaidi nomba mjazie na km kuna zingine mnahisi sio za wanyiramba basi nitakuwa nimepat upande wapili
 
Nmejikuta nakuwa impressed na sifa hizi, ndo maana ikawepo blind date thing
 

Umeshaolewa?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…