sifa za wanaume wenye vitambi

Mimi nina kitambi lakini mbona kama ni mtihani nitapata 10%?
1. Sina
2. Hapo kidogo kuna kaukweli maana mke wangu alinikubali na bado ananikubali
3. Sina hata hiyo nyumba ndogo.
4. Hawana nini? Mbona hujaeleza
5. Hiyo ni kweli hela napata lakini huwa najishangaa kupenda kuchunwa na mke wangu tu.
6. Nani alikwambia wote wako hivyo, mimi mpaka mke wangu ananipangia ratiba kutokana na usumbufu wangu.

Look how handsome I'm:

1. Hapo nilikuwa naenda job
2. Huyio ni mdogo wangu alikuja kunitembelea, hapo anamsaidia kazi ndogo ndogo shemeji yake.
3. Hapo nikiwa shopping na Mama watoto.
 

Attachments

  • ukoko mtamu.jpg
    18.4 KB · Views: 158
  • Unene wa kichina.jpg
    43.6 KB · Views: 146
mkuu unacho nn angalia usipige mtu na kama kip ondoa haraka huo mgogoro wa ndoa

Mkubwa nakumshukuru MUNGU niko FIT maana huu UGONJWA wa KITAMBI haujawahi kunikumba:smile-big:
 
Wewe Smile naona unajaribu kuingilia starehe za watu.. Aliokuwambia vitambi havina starehe ni nani..? Halafu usifananishe matumbo na vitambi..! Kwa taarifa yako mie nina mguu wa mtoto pamoja na kitambi nilichonacho.. Muulize Paloma atakuambia.. Halafu staili zote hapa zipo lol..
 
Last edited by a moderator:
mie kitambi ninacho, na nakung'uta K mpaka inaawaka moto...., inategemea ntu na ntu..
 
jamani nime kumiss wewe....mi flat screen.....smile just smile for me gal.hahaha
 
nimeipenda no 5.....................
 
Hapana sivipendi, ila ungekuwa nacho ningekuja kukuonja, maana wanasema wenye vitambi wana ndogo kama kidole cha mwisho, so kama huna naogopa kukimbia na pichu mkononi, kwa dhahama itakayonikuta.

HAHAHAHA KWEL HII NDO JF me nina KTAMBI0 CHA SIZE 2 N nina bonge la MUHOGO WA JANG'OMBE me nahc ni dhana 2 wanaotaka kuprove wani pm
 

Akili zao hazipo fast kivileee...
 

Uliyoandika ni Layman observation. Soma hapo chini upate scentific observation

Fat Men Are Better in Bed

Sex researchers: "Size" does matter - Salon.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…