sifa za wanaume wenye vitambi

Ebu malizia hapo namba 5.. wenye vitambi hatun.... err i am sorry, hawana nini?
 
Umeshaambiwa saloon ya wamama

'Saloon ya wamama' ni taasisi? Kwanza 'saloon ya wamama' ni umoja. Yeye kasema "taasisi mbalimbali duniani".

Utafiti umefanywa na 'saloon ya wamama' au yeye kasikia kutoka huko kwenye hiyo 'saloon'?
 
hata mwanamke akiamua kumsifia jamaa yake mumuone yupo vizuri utasikia nimepata bonge la bwana kitambi kule... blah blah kibao ...kama mwembamba hawezi kusifiwa
 
wazani kulea kitambi mchezo?kwahitaji hela atiiii

umeona eeh? watu wanashupalia tu oh kitambi sikipendi kumbe hana uwezo wa kuwa nacho! wengine miili yao haina shukrani inanenepa kwa ndani hata alishwe kwa mirija

mi siwezi kukiondoa bhana manake kinanipa heshima sana benki kuomba mikopo na kuhudumiwa vizuri ofisi mbalimbali teh teh!
 
pia unajenga heshima kwa wanawake
 

....haya bana.

 
Aah jitu tumbo limeenda mbele lazma nanii irudi back bana
 
Wewe Smile no 5 na 7 ngoja waje, usipokimbia hili jukwaa sijui!
umeona mkuu mimi mwenyewe nina kitambi na nina kampuni yangu , lakini sizioni hizo sifa hata moja kwenye bed ndiyo usiseme labda aje atest zali . pay ninayo nyumba ndogo sina , kunywa sinywi pombe labda maziwa , kilo 120 presha sina gym kwa sana nafuga kuku wa kizungu wana ni keep bize 24hrs , sasa huyu ameachwa na demu ambaye boss anakitambi anataka ku discourage issue ya vitambi . na isitoshe kitambi mimi nafikri kinakuja automatic tu wala huwezi kukilazimisha ila kwa mshamba ndiyo anaona sifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…