Sifa za wanafunzi kulingana na vyuo

Sifa za wanafunzi kulingana na vyuo

chuo n chuo tuuuuuu,,,hata kama ningesoma teku..teh teh

of coz lazmaaa ufe na njaa kwa nn ulienda soma kazi za kike... ungesoma kitu cha bvm md engnrn kwa nn ufe njaa....
 
¤Sua, Muhas, Kcmc- Makini na Wajanja
Mzumbe- Matajiri na wenye Akili
¤Udsm- Watu wenye sifa mchanganyiko na jamii inawakubali
¤Cbe-dar- Malaya na wasiojiweza kiakili
¤Tumaini, Ardhi- Upeo mdogo wa kufikiri na watoto wa Mama
¤Ruco- Wajinga kwa waliokosa vyuo kabisa
¤Udom- Waliokosa nafasi Udzm na wanaipenda ingawa wanaipondea
¤Sauti,Ustawi, Mwl Nyerere, Muccobs, Cbe-dom- Wasiojua Future Zao
¤Iaa- Wenye uwezo ila walifeli form six
¤Mipango, Zanzibar, St.john, Moro Muslim- Wasiofahamu umuhimu wa elemu, hapa vilaza wamejaa kaa Nyota
¤Lpcuco- Majigambo kibao hamna cha maana kazi kujipraudi tu
¤Ifm- Kwa mademu wa ukweli

wewe ndo kichwa cha CBE
 
of coz lazmaaa ufe na njaa kwa nn ulienda soma kazi za kike... ungesoma kitu cha bvm md engnrn kwa nn ufe njaa....

kama ipo ipo tuuuuuu Ze Dudu...wala stakufa kwa njaaaa.ntakomaa ivo ivo..wote tungeenda hko watoto wako nan angewafundshaaaa..?nan angekua mhasbuuuu?jpangeeeeee


......"""KAMA N CHANGU,NTAPATAAAAAAAAAAA"""......
 
Vyuo Vyote Vinakubalika Ndio Sababu Umoja Wa Vyuo Vikuu Wanavisajili. Embu Acheni Dharau
 
hii forum siku izi imeingiliwa........yaani imejaa ***** mambo ya facebook zao wanaleta apa......forum imekaa kibongofleva.....mtu unaenda internet cafe(maana huna modem wala computer) badala ya kuutumia muda wako vizuri unakaa kupost ushabiki mandazi......

your in remember
 
jamani mbona watu wamepanic, kiruuuu!! i can bet hii post inaukweli ndani yake mapovu hayawezi watoka watu this much#
 
mzumbe ni chuo cha waliofeli na kushindwa kuingia udsm....kinazidiwa hata na SAUT, ni ajabu kusikia hicho ni chuo cha wenye akili...tafadhali tusichanganye mzumbe high school shule ya wenye vipaji na mzumbe university, kati ya vyuo vya wanaokimbia sup za udsm wavivu wa kusoma na waliofeli form six ni mzumbe. nilishawai kufundisha pale, vigezo tu na hata wanafunzi tu walioko pale mzumbe na wale wa SAUT ni tofauti, saut wako serious na bora kuliko mzumbe mara mia. RUCO inaendana na saut, ....kwa vyuo vya afya, muhimbili, kcmc na bugando viko juu sana. kwa rank tu, udsm ni chuo bora sana hata katika rank ya kidunia, kiafrika na cha kwanza africa mashariki. pale wanatoka waliofaulu vizuri form six na wachache waliofeli. kusoma mzumbe hata bure sitaki, nashukuru Mungu nilisoma udsm miaka ile nilipokuwa nasoma...

ahaaa!kumbe ulisoma udsm??? huna budi kukisifia kwani ndicho unachokijua.
 
Back
Top Bottom