Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 743
nimesoma udsm, nikasoma mzumbe, nikasoma na vyuo vingine viwili nje ya nchi. wewe je? umeishia tu kusoma mzumbe au umeingiliana vyuo kama mmahaaa!kumbe ulisoma udsm??? huna budi kukisifia kwani ndicho unachokijua.