QUALIFIED
JF-Expert Member
- Jun 13, 2012
- 773
- 112
vp umo au?
hapana mkuu ila inamaana wanasoma ili wamalize au
vp umo au?
I bet you can't prove this!!!!!!Eti Mzumbe ni wenye akili!!! Angalia programu ya MPA/MBA vilaza kibao wanaikimbilia
inategemea unasemea ma engineer gan, ila kwenye sekta ya kilimo bado wachanga!! huku kwingine kama ujenzi na technology mi binafsi sina cha kubisha...wako poa hasa kwa baadae!!!!St.Joseph real and future engineers of Tanzania and abroad. Nawakilisha wakuu wa hili janvi
hii forum siku izi imeingiliwa........yaani imejaa ***** mambo ya facebook zao wanaleta apa......forum imekaa kibongofleva.....mtu unaenda internet cafe(maana huna modem wala computer) badala ya kuutumia muda wako vizuri unakaa kupost ushabiki mandazi......
usijifanye wewe ni great thinker huna jipya we kama huna cha kuongea ni bora ukakaa kimya kuliko kuleta majungu yako Hapa !! Bila shaka wewe ni wa cbe dar
Hii mada inapoenda sio pazur...maana kuna watu wanaona ni uzalilishaji na pia ni matusi yametumika kwa njia moja au nyingine.Kiustaharabu afadhali tuache kuchangia kwa kukejeliana.
¤Sua, Muhas, Kcmc- Makini na Wajanja
Mzumbe- Matajiri na wenye Akili
¤Udsm- Watu wenye sifa mchanganyiko na jamii inawakubali
¤Cbe-dar- Malaya na wasiojiweza kiakili
¤Tumaini, Ardhi- Upeo mdogo wa kufikiri na watoto wa Mama
¤Ruco- Wajinga kwa waliokosa vyuo kabisa
¤Udom- Waliokosa nafasi Udzm na wanaipenda ingawa wanaipondea
¤Sauti,Ustawi, Mwl Nyerere, Muccobs, Cbe-dom- Wasiojua Future Zao
¤Iaa- Wenye uwezo ila walifeli form six
¤Mipango, Zanzibar, St.john, Moro Muslim- Wasiofahamu umuhimu wa elemu, hapa vilaza wamejaa kaa Nyota
¤Lpcuco- Majigambo kibao hamna cha maana kazi kujipraudi tu
¤Ifm- Kwa mademu wa ukweli

ujumbe umekufikia.....if u don want tobe called a child grow up..........usidhani chuo au elimu utakayoipata itagarantii ubora w amaisha yako..........sahau..wapo watu wamesoma ivyo unavyoona ni vyuo uchwara na ndo wanarun this town.......ww na chuo chako na GPA yako ya 4 unakufa njaa mjini....kalagabaho
Embu nambie Haya mambo Ya GPA yametokea Wapi? MKUU naomba usi panic kwa sababu nishakuona wewe ni legelege ka mama mjamzito ni mtazamo tu usijenge chuki mkuu
mi siwez kupanic kwa mambo ya watoto wa shule.......mi huko nilishatoka zamani sana..nakupa ushauri utakaokusaidia ktk maisha yako...achana na ushabiki wa kupuuzi.