Mwanaume wa kweli hasusi
Mwanaume wa kweli hanuni
Mwanaume wa kweli sio mbinafsi
Mwanaume wa kweli ni yule mwenye kumuheshimu kumthamini na kumjali mwanamke wake
Ova
Na hapo ndipo wanapokosea. Ila twendw nao taratibu huenda wakaja kulitambua hilo kwamba kwenye mahusiano kuna kuombana misamaha na pia kuna kujishusha hasa pale mmoja akoseapo.
Na hapo ndipo wanapokosea. Ila twendw nao taratibu huenda wakaja kulitambua hilo kwamba kwenye mahusiano kuna kuombana misamaha na pia kuna kujishusha hasa pale mmoja akoseapo.
Samahani, swali la nje ya mada,umewahi kua na mtu wa aina hiyo??? Uliweza kwenda naye taratibu na kwa umbali gani hasa? Nawaza hapa mtu anakukosea haombi msamaha anajisahaulisha unaenda naye tu moyoni unajisikiaje?? Halaf bora ashtuke amefanya mistake habari hapati unafanyaje???