Hajafanikiwa bado kutoka kupanga au kujenga kwake au hana kaz itakayomfanya ahame kwao akatfte pa kuishi hicho chumba atakilipiaje??ha ha ndo hvo Mtu anajiita mwanaume alafu anaishi kwa wazazi hii inachekesha
Ewaaaaaaaaa.Hahahaha
Mwanaume wa kweli lazima asimame kama mwanaume kwenye mahusiano yake, kujishusha na kusema samahani sio kosa inaruhusiwa
Wallah nimecheka sanamwanaume wa kweli haombi samahani....
mwanaume wa kweli anajisahaulisha sio unaniagiza nyama sokoni nakuletea
Ila haya mambo hayatabirikiEwaaaaaaaaa.
Na hayo ndio mapenzi ya kweli shoga sio kila siku sisi tu.
Hahaaa. Umeonaeee. Unaweza subiri samahani mpaka ukija kushtuka ushamkosa.Ila haya mambo hayatabiriki
Unajikuta unaomba wewe japo kosa sio lako vinachoshaHahaaa. Umeonaeee. Unaweza subiri samahani mpaka ukija kushtuka ushamkosa.
kutabasamu sawa utatabasamu ila sio kuagizana nyama au kuombana msahamaWallah nimecheka sana
Asipoomba samahani itakuaje anajisahaulisha makusudi tu??? Mwanaume wa kweli ni yule anayehakikisha mwenza wake ana tabasam mda wote loh
MandingoMwanaume wa kweli ni yule mwenye......
Mwenye pochi nene,hata akihonga laki halafu akakosa papuchi,hawezi kuja Jf na kufungua thread ili kuilalamikia laki yake!!Mwanaume wa kweli ni yule mwenye......
Koh koh kohMwenye pochi nene,hata akihonga laki halafu akakosa papuchi,hawezi kuja Jf na kufungua thread ili kuilalamikia laki yake!!
We ukikosea hua wafanyaje??? Au ndio huko kujisahaulishakutabasamu sawa utatabasamu ila sio kuagizana nyama au kuombana msahama