😂😂😂😂😂 Long time not see you bro...vpHivi kwenye huu Uzi wamezungumzia ndoa kweli? Au sijasoma vizuri 🤔
Weee,🤠usiniambie!?Usitishike na machozi ya mwanamke,wana usanii sana hao watu
Mwanamke kulia lazima na sio machozi tukamwe haumuumizi mwanamke.
Kuwa mwangalifu sana unapomfanya mwanamke kulia, maana Mungu huhesabu machozi yake.
MWANAMKE
alitoka kwenye ubavu wa mwanaume
SI kutoka kwa miguu yake ili akanyagwe
SI kutoka kichwani mwake ili awe juu, bali kutoka ubavuni mwake ili muwe sawa.
Chini ya mkono ili alindwe na karibu na MOYO ili apendwe
Mabaharia tumeelewana?View attachment 2555591

Eti yeye ni hitter &runner forever🤒Ooh kumbe... Anakosa vingi
Msamehe mtu yeyote ambaye amekusababishia maumivu au madhara.Vipi kwa wanawake ambao wanatuumiza ?
Na makwazo ndo utamu wenyewe wa ndoa 🥳
Kwani wewe mkuu hujawahi kumliza mwanamke? Au ulisha tubu?kamwe haumuumizi mwanamke.
Kuwa mwangalifu sana unapomfanya mwanamke kulia, maana Mungu huhesabu machozi yake.
MWANAMKE
alitoka kwenye ubavu wa mwanaume
SI kutoka kwa miguu yake ili akanyagwe
SI kutoka kichwani mwake ili awe juu, bali kutoka ubavuni mwake ili muwe sawa.
Chini ya mkono ili alindwe na karibu na MOYO ili apendwe
Mabaharia tumeelewana?View attachment 2555591
Hakika 👊Fainali uzeeni ujana maji ya moto.. Hayakawii kupoa
Kweli kabisa mi nnachojua machozi yana NaCl, H2O, n.k na hizo hisia za maumivu sana sana ni Serotonin(hormone ya hisia, mood, apetite) iko kazini.Weee,usiniambie!?

Vipi yeye asiwe mwangalifu anaponifanya nilie?Kuwa mwangalifu sana unapomfanya mwanamke kulia, maana Mungu huhesabu machozi yake.View attachment 2555612View attachment 2555613
Hawa wazee sio wa Meridian Riverside ?
Hapa nakuunga mkono nduguMsamehe mtu yeyote ambaye amekusababishia maumivu au madhara.
Kumbuka kwamba kusamehe sio kwa wengine. Ni kwa ajili yako. Kusamehe sio kusahau. Ni kukumbuka bila hasira. Huweka huru nguvu zako, huponya mwili wako, akili na roho. Msamaha unafungua njia kuelekea mahali papya pa amani ambapo unaweza kuendelea licha ya kile ambacho kimekupata.

Nashindwa kujibu mkuu maana kwenye uzi hujatuambia aina za vilioVilio vipo vingi.. Kipi kimojawapo