Sanaa🫂He deserves!View attachment 2555630
Wanandoa ambao "wamekusudiwa kuwa" ni wale ambao hupitia kila kitu kinachokusudiwa kuwasambaratisha na kutoka na nguvu zaidi kuliko hapo awali.Tuhamasishe amani na upendo kwa kila kiumbe, sio hizi propaganda za enzi. Kumkosea mwanamke au mwanaume, adhabu ni ile ile.

Mkuu umenisaidia kusemaWe should all be nice to each other, haya mambo ya machozi ya mwanamke nini nini mmeongeza nyinyi kwa sababu mnazijua wenyewe.
Usitishike na machozi ya mwanamke,wana usanii sana hao watu......binafsi pia huwa najisikia vibaya sana nikiuta mwanamke anatiririka machozikwa sababu yeyote ile, hata kama simfahanu siku huwa inaharibika kabisa, hasa akiwa mtu mzima......shukrani Kwa kutumbusha tuepuke kuwa sababu ya kuwalizana tuwe wafariji.........
😳Wee,sema kweli.wenzetu waliokengeuka walianza kulegeza kama unavyoanza kulegeza ndugu mshana Jr.
usimhurumie mwanamke.
kwanza mbinguni hakuna wanawake.
prove me wrong.
Kwahiyo Zumaridi alienda wapi au zilikuwa fix!?
Pole mkuu,jikaze jikazeeVipi kwa wanawake ambao wanatuumiza ?