Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,404
- 829,732
kamwe haumuumizi mwanamke.
Kuwa mwangalifu sana unapomfanya mwanamke kulia, maana Mungu huhesabu machozi yake.
MWANAMKE
alitoka kwenye ubavu wa mwanaume
SI kutoka kwa miguu yake ili akanyagwe
SI kutoka kichwani mwake ili awe juu, bali kutoka ubavuni mwake ili muwe sawa.
Chini ya mkono ili alindwe na karibu na MOYO ili apendwe
Mabaharia tumeelewana?