Sifa za Mwanamume wa kweli (A real man) tena wa Kiafrika

Hapo nilipoweka red sijaelewa naomba ufafanuzi.
Hiyo namba 8 magonjwa yatatupita kweli?
Hiyo namba 9 naona nyumba itageuka gereza lol hata huyo baba mdomo utanuka.

Mdogo wangu Double K.

Kama umefuatilia uzi huu, kuna mahali mzee mwenzangu Asprin kasema kuwa ndo ni muungano ambao mmoja huwa yuko sahihi siku zote na mwingine huwa ni mwanamume (one is always right and the other person is a husband)... Kama ukielewa hilo jambo hutapata shida kuelewa nambari 1 n 2!!

Hiyo namba 8, usiwe na shaka sana. Kama utakuwa uko kwenye ndoa utalewa ninachokiongelea. Kwa taarifa yako, watu wengi wanaopata maambukizi ya ukimwi ni wanandoa...Je, wanaupate huo ukimwi? Unahisi kwamba wanaambukizwa na maji ya chupa ya Uhai au Kilimanjaro...Tafakari na chukua hatua!!

Na hiyo nambari 9, si ngumu ki hivyo kama utakuwa mfuatiliaji wa michango ya wadau hapa jamvini.. Hata waliopiga hoja hiyo, wapo wengi ambao kwenye uzi wa mdau mmoja SOMA HAPA , ndio waliopendekeza kuwa jamaa anatakiwa kubehave kama mwanamume....

Hebu jipe muda kutafakari, naamini na wewe utarudi kwenye post nambari 1 na kunigongea LIKE!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Wewe King'asti ulikuwa hapi hadi unakuja kuchungulia wakati party ilishaisha kitambo???

Hata hivyo, maoni yako yanasubiriliwa kwa hamu sana.....

Hope utafunguka muda si mrefu!!~
 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa....

Hilo ndilo tulilomaanisha ingawa Bishanga aliamua kuwa mbishi tu!!

Babu DC

Na mwanamume akizidi kulia kuna uwezekano wa kupoteza mwanafamilia maana mwingine kadri anavyolia alafu mdingi anyamazi mwisho wa siku anadondoka kwa kukosa ujasiri maana role model wake anaemwamini amemwangusha
 
Ulikuwa wapi ndugu yangu Jodoki Kalimilo?

Kuna watu tulijitahidi kuwaelewesha ila waliziba masikio yao kwa super glue...Ikabaki wenzao kama tunatwanga maji kwenye kinu!!!

Nadhani wadau inabidi wakubali tu kwamba, lazima kwenye ndoa awepo mwanamume wa kweli ambaye ni tofauti na mwanamke...Vingenevyo ndoa inaweza kuonekana kama bweni la wasichana wanaoishi kwenye chumba kimoja!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Wewe King'asti ulikuwa hapi hadi unakuja kuchungulia wakati party ilishaisha kitambo???

Hata hivyo, maoni yako yanasubiriliwa kwa hamu sana.....

Hope utafunguka muda si mrefu!!~

Babu, nna wasiwasi kuwa bibi hujampa haki yake ya msingi, manake hata kama umesha, saa hizi snuggling zinahusika. Ama wazee ham-snuggle?
Mie nilikula miguu ya kuku, sijui nilikuwa nazurura wapi hata nikapitwa. Hivi umenionaje na wewe, aaaghhh!
 
Ulikuwa wapi ndugu yangu Jodoki Kalimilo?

Kuna watu tulijitahidi kuwaelewesha ila waliziba masikio yao kwa super glue...Ikabaki wenzao kama tunatwanga maji kwenye kinu!!!

Nadhani wadau inabidi wakubali tu kwamba, lazima kwenye ndoa awepo mwanamume wa kweli ambaye ni tofauti na mwanamke...Vingenevyo ndoa inaweza kuonekana kama bweni la wasichana wanaoishi kwenye chumba kimoja!!

Babu DC!!

Wakati mwingine tunapotea kutokana na technolojia duni kwani mtandao husumbua, kuna mbaba mwingine amelia mbele ya baraza la madiwani (mkuu wa wilaya ya Nkasi) kutokana na utendaji mbaya wa halmashauri huku mwanamama ambae ni mkurugenzi wa wilaya (DED) akiwa kakomaa sura kavu isiyo na shaka yoyote. Sasa DC mzima analia mbele za watu badala ya kutatua tatizo hapa si sawa na huu uzi, badala ya kukabiliana na tatizo yeye analia sijui alitegemea kwamba alipoteuliwa kuwa DC atakuta kila kitu kipo sawa?
 
Babu, nna wasiwasi kuwa bibi hujampa haki yake ya msingi, manake hata kama umesha, saa hizi snuggling zinahusika. Ama wazee ham-snuggle?
Mie nilikula miguu ya kuku, sijui nilikuwa nazurura wapi hata nikapitwa. Hivi umenionaje na wewe, aaaghhh!

Ndo hapo sasa, ujue kuwa mie ndiye Babu DC!

Kuhusu bibi, sijamuonea bwana...Niko huku mitaani nafanya sensa ya watu ambao hawakulala kwao...Sijui nikikutana na fake couples nitafanyaje!!!

Babu DC!!!
 
Wakati mwingine tunapotea kutokana na technolojia duni kwani mtandao husumbua, kuna mbaba mwingine amelia mbele ya baraza la madiwani (mkuu wa wilaya ya Nkasi) kutokana na utendaji mbaya wa halmashauri huku mwanamama ambae ni mkurugenzi wa wilaya (DED) akiwa kakomaa sura kavu isiyo na shaka yoyote. Sasa DC mzima analia mbele za watu badala ya kutatua tatizo hapa si sawa na huu uzi, badala ya kukabiliana na tatizo yeye analia sijui alitegemea kwamba alipoteuliwa kuwa DC atakuta kila kitu kipo sawa?

Huyo mkuu wa wilaya (DC) alitakiwa kufutwa kazi mara moja!!

Bahati mbaya hakuna mtu anayeweza kuthubutu kumfukuza kazi kwa sababu maboss wake nao ni watu wa kulia lia hovyo!!

Ni jambo linalokera sana kuliona dume zima linaangua kilio mbele za watu!!

Babu DC!!
 
Ndo hapo sasa, ujue kuwa mie ndiye Babu DC!

Kuhusu bibi, sijamuonea bwana...Niko huku mitaani nafanya sensa ya watu ambao hawakulala kwao...Sijui nikikutana na fake couples nitafanyaje!!!

Babu DC!!!

Babu bwana, we umeambiwa uhesabu watu waliolala pamoja tarehe 25 kuamkia 26, hukuambiwa uwaulize kama ni kapo au la. hahhah utasutwa shauri yako
 
Babu bwana, we umeambiwa uhesabu watu waliolala pamoja tarehe 25 kuamkia 26, hukuambiwa uwaulize kama ni kapo au la. hahhah utasutwa shauri yako

Hahahahahahahahahahaha,

Kwa hiyo wewe MwanajamiiOneusingependa kuulizwa hivyo au unawatetea??

Ngoja kwanza niangalie tena questionnaire niliyopewa na Boss...

Halafu unajua nini...hawa vijana wangu ni wababaishaji sana...Pamoja na kulipwa mafao ya kuua mtu (ila usiseme kwamba tumewachapa VAT) na kupewa maelekezo ya kutosha..., mie kama Supervisor wao sikuona mtu hata mmoja...

Nilipowauliza asubuhi hii wakanieleza kuwa data za wageni watazichukua kutoka kwenye vitabu vya hizo hotel au zile nyumba za wageni za watu wa KCC (kima cha chini cha mshahara)!! Hapa nimechanganyikiwa kwa sababu kuna guest houses kibao ambazo huwa haziandikishi wageni wake...Si unakumbuka wengine wanachapa ile short time (ingawa inaweza kupita mid-night)??

Ndo uchakachuaji huo tena umeanza!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Babu bwana, we umeambiwa uhesabu watu waliolala pamoja tarehe 25 kuamkia 26, hukuambiwa uwaulize kama ni kapo au la. hahhah utasutwa shauri yako

Huyu siku ya kumsuta uniambie na mie nije na blanket na chachacha. Kashindikana!
Ndo hapo sasa, ujue kuwa mie ndiye Babu DC!

Kuhusu bibi, sijamuonea bwana...Niko huku mitaani nafanya sensa ya watu ambao hawakulala kwao...Sijui nikikutana na fake couples nitafanyaje!!!

Babu DC!!!

Babu, hivi ukikataa kujibu swali la sensa ni kosa la jinai pia? Kuna maswala hayajibiki, na hasa lokesheni
 
Huyu siku ya kumsuta uniambie na mie nije na blanket na chachacha. Kashindikana!Babu, hivi ukikataa kujibu swali la sensa ni kosa la jinai pia? Kuna maswala hayajibiki, na hasa lokesheni
Yatakayokupata usije ukanilaumu!
 
Mkuu Dark City, kimsingi kila eneo limegusiwa... Kwa undani na umakini tena kwa pande zote mbili... Hapa hata la kuongeza ni mtihani.

Hongera kwa such a lovely topic.. Pamoja sana.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Dark City, kimsingi kila eneo limegusiwa... Kwa undani na umakini tena kwa pande zote mbili... Hapa hata la kuongeza ni mtihani.

Hongera kwa such a lovely topic.. Pamoja sana.

Ahsante sana AshaDii,

I wish ungekuwepo siku zile tunapambana kuwaelewesha wadau maana ya kile tulichokisema.....

Ngoja sasa tuhamie kwa gfsonwin kwanza, tukamjadili mwanamke wa kweli.... KARIBU USOME HAPA.

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hallow wa Ndugu na wadau wote, me john masali:sleepy::flypig::flypig: , baada ya kuona na kushiriki mijadala mingi, nimeonelea nitoe mchango wangu ili ndugu, dada, binti na wajukuu zetu waweze kuelewa tunavyomfahamu mwanamume wa kweli (A real man) tena wa Kiafrika.
  1. Siku zote hujitahidi kwa kila njia kuonesha kuwa yeye ni mwanamume na siyo mvulana mkubwa (big boy) au mwanamke asiye kuwa na maziwa huku akiwa ndani ya suruali.
  2. Hufanya maamuzi pale pale inapotakiwa na husimama kidete kuhakikisha maamuzi yake muhimu (yale ya busara) yanatekelezwa tena kwa gharama yoyote. Mwanamume wa kweli hatoi kauli tata na kauli zake huwa ni aina fulani ya maelekezi (orders) ya jinsi ya kudeal na issues zote muhimu ndani nyumba!
  3. Huwa halii lii ovyo hata kama kafiwa. Hujitahidi kutowaambukiza weliomzunguka emotional break down. Kwa hiyo, inapobidi kulia, huficha sura yake. Mwanamume wa kweli hawezi kuangua kilio mbele za watu hata kama kafiwa na Mungu wake!!
  4. Hatelekezi familia hata siku moja bali uhakikisha ustawi wa familia yake unakuwa kipaumbele chake cha kwanza. Watoto watapata matunzo mazuri (bila ubaguzi) kwa kadri ya uwezo wa familia na mke wake atapewa kipaumbele cha kwanza katika matumizi ya rasrimali za familia (family resources)
  5. Hufanya kila njia mke wake awe na furaha na amani kwa kumpa haki zake zote za ndoa bila mzaha (she needs a full dose).
  6. Inapotokea akachepuka mara moja moja, hutengeneza mikakati ya kuhakikisha kuwa tahadhari kubwa imefanyika ili kumlinda mke wake na familia kwa ujumla…Ushauri wa The Boss hutumika katika mambo haya. CLICK HERE
  7. Husimama kwenye mstari ili kusimamia mambo ya msingi (principles) katika uendeshaji wa familia yake kama kiongozi imara. Na pale anapokosea, hutumia mbinu za kiutu uzima kuweka mambo sawa. Kamwe hatakubali shinikizo la mke wake katika kutatua matatizo ya kifamilia ndani ya nyumba yake!
  8. Mwanamume wa kweli hafanyi mambo ya mzaha mzaha na kuomba omba misamaha isiyo na kichwa wala miguu! Hata hivyo, anaweza kuomba msamaha kwa mke wake katika mambo ambayo hayagusi misingi na uwepo wa ndoa. Ila kamwe, hatakiwi kukiri kutoka nje ndoa. Hata pale anapokamatwa ugoni (labda akutwe bolt imefungwa na nut), atatumia mbinu zozote ikiwa ni pamoja na msaada wa wanaume wenzake (wakati mwingine hata wanawake) kutunza imani ya mke kwake. Hata siku moja, hatakiwi kumweleza mke wake (kwa kinywa chake) eti katembea nje ya ndoa.
  9. Siku zote atakuwa mwanamume na baba na hatafanya michezo ya kucheka cheka kipuuzi ama mbele ya watu au wanafamilia…Lazima kila kinywa kikiri kuwa kweli huyu ni baba ndani ya nyumba!!
  10. Hakimbii matatizo hata yakiwa makubwa kiasi gani…Atayakabili kwa mbinu zozote zile ili kulinda heshima ya uanaume na ubaba wake….Ndiyo maana, watoto wadogo wanaamini kuwa baba hashindwi na jambo lolote. Kuwaonesha watoto na hata mke kuwa baba ana vitu asivyoviweza ni kuwaharibu kisaikolojia!
  11. Ataonesha siku zote kwamba hasemi uongo. Hata pale atakaposema uongo mtakatifu (mfano, kumficha kitu mke wake ili kutomvunja moyo au kuharibu imani yake kwake), atalinda maneno yake kwa gharama zozote!!
  12. Atapigania himaya yake kwa nguvu na gharama zozote zile….Hawezi kukubali kudhalilishwa mbele ya mke na watoto wake! Bora afe kuliko kuona hayo yakifanyika machoni pake!

Nawatakia week njema,

Babu DC!!

Updates

[/LIST]
[/QUOTE]
 
Naomba niwape hongera wanaume wote wenye sifa nzuri zilizotajwa. Babu natumai utakuwa miongoni mwa wanaume wa kiafrika.
 
Back
Top Bottom