Sifa za Mwanamume wa kweli (A real man) tena wa Kiafrika

Ahsante sana asakuta same.

Nimefurahi kwamba umepata muda kupitia maoni ya wadau. Pia nimefurahi kuona michango yako.

pamoja sana mkuu ,hii imenikumbusha mambo mengi sana na wakati mwingine imenipa majibu mengi sana kwenye maisha yangu ....kuna wakati nilikuwa najihisi nina matatizo ,mpaka nikafika mahali nikataka kubadili kidogo mfumo wa maisha baada ya kuona malalamiko mengi sana yanatoka kwa mwenzangu kwamba napendelea mfumo dume ilihali mimi ninaona ndiyo njia sahihi ya mwanaume wa kweli kuichukua.
 
Mwanaume wa kweli ni yule wako tu kama ulifanya chaguo sahihi kwa vigezo vyako. Hafanani wala usimfananishe na mwingine.
Shkamoo babu! Xmass njema.
 
36 Reactions
Reply
Back
Top Bottom