Sifa za mwanamke wa kuoa

Akiwa na sifa zote hzo utakuta
1- hana tako
2- sura na figure ni pentagon
#hakuna_aliekamilika
 
Labda point ya kwanza tu lakini hizo zilizobaki zinafanywa na mwanamke mhuni ndiye anayeweza kuwa na ujasiri wa kuyafanya hayo kabla ya kuolewa.

Binti aliyeleleta ktk misingi ya maadili mema hathubutu kuyafanya hayo.
ha ha ha mapenzi ni hisia mkuu.......unaweza kumlea mtoto wako katika misingi mizuri lakini mwisho wa siku anaenda kulala nje kwa mtu wa ajabu ajabu.
 
Nakubaliana na wewe,imani umteka mtu;kwahiyo ukitumia njia hiyo kumuaminisha mwenza wako ni sawa na kumbaka kiimani ili mambo ya kidunia asiyawaze.
Unajua Mungu hakatazi pale yanapofanyika kwa usahihi ndo maana tupo kuzaliana kwa utaratibu sio kuchukuana chukuana tu,Ndo !maana unaweza chukua mtu kumbe sio. Sahihi kwako Mwisho wa siku unajuta,ili nisijute basi Mungu nitampa nafasi anichagulie wa kufanana nae kuepuka

Kuongezeka single Mother
Watoto waliokosa malezi ya wazazi wote wawili
Na kuepuka hatari nyingi kipindi mnaachana
 
Akiwa na sifa zote hzo utakuta
1- hana tako
2- sura na figure ni pentagon
#hakuna_aliekamilika
ha ha ha ina maana mpaka unaanzisha uhusiano na mtu,maana yake kuna kitu kilikuvutia mwanzoni.
 
Hata kama unamshirikisha Mungu,jitihada zako binafsi ni muhimu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…