Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,939
- 61,732
Vitu hivi akivifanya mpenzi wako wa kike jua ni wife material:-
Haya,mnaotafuta wake kazi kwenu...
- Anapokuja kukutembelea anakuwa amevaa nguo za heshima
- Akija kwako anaweza kukuletea vitu vya kupika,vya kutafuna tafuna n.k
- Akija kwako atafanya kazi mbalimbali mfano kufua,kupiga deki,kuosha vyombo,kukupikia n.k
- Akipika chakula anakuandalia mezani na anakukaribisha ule.
- Kama atalala kwako,ataamka asubuhi na mapema na atafanya usafi,atapika chai,atakuandalia maji ya kuoga n.k
- Mkiwa katika maongezi kwa asilimia kubwa atakuwa anaongea mambo ya msingi kuhusu maisha yenu ya baadaye mfano watoto,maendeleo,biashara n.k
- Pia anakuwa ni mtu asiyependa kutumia fedha zako hovyo atajitahidi kubana matumizi.
ha ha ha kama atakuwa na sifa zote hapo juu,ni wachache sana anaweza kumpanga mtuAnaweza akafanya yote hayo lakin Anawapanga Wanaume kwa Folen. Ikifika Folen yako unapata huduma safi then kwa mwenzio vivyo hivyo.
Usituchezee sisi
ha ha ha kupata 'wife material' ni mtihani mgumu sanaHuna sababu ya kumchunguza binadamu mwenzako kiasi hicho, sifa zote hizo za nn mkuu
Ukiangalia sifa zote hizo basi hakikisha wewe una sifa nzuri mara mbili ama tatu ya hizo
ha ha ha kama huna hizo sifa,usingle M utakuwa unakunyemeleaSina hata viwili🙄
ha ha ha Mungu anaishi wapi?Sio kweli, mke maalumu na mzuri wa kuoa awezi kulala kwako na ukamtumia,mke bora ni yule atalala kwako baada ya ndoa kufungwa na mengine mengi hapo ume wrong na ndo maana ndoa nyingi zina madoa madoa sana kwa sababu vijana wengi hawajua wanachofanya mke wa Kweli Mungu humuandaa
Mungu anaishi mahali poteha ha ha Mungu anaishi wapi?
Kwani single M huwa wanatokea vipi?ha ha ha kama huna hizo sifa,usingle M utakuwa unakunyemelea
Sawa mkuu,hayo ni mafundisho tu yasiyokuwa na uthibitisho;tumepewa akili ili tuzitumie katika kupata wenzi wema pamoja na kumudu maisha yetu hapa duniani.Mungu anaishi mahali pote
Ha ha ha ha wasiokuwa na sifa hizo hapo juuKwani single M huwa wanatokea vipi?
Wapo watu waliowaza hayo mpaka sasa wanajutia ndoa zao na wapo walitumainia katika Mungu wanaishi vizuri mnooo mkuu na ukiwa na Imani na Mungu basi Maisha yanakiwa Murua unakuwa na Amani ni furaha sana mkuuSawa mkuu,hayo ni mafundisho tu yasiyokuwa na uthibitisho;tumepewa akili ili tuzitumie katika kupata wenzi wema pamoja na kumudu maisha yetu hapa duniani.
Amina sana mkuu,ipo sahihi kabisa more than 100%,Ifikie hatua wadada wajitambue na hizo point zilizobaki hata muhuni anaweza fanya tuLabda point ya kwanza tu lakini hizo zilizobaki zinafanywa na mwanamke mhuni ndiye anayeweza kuwa na ujasiri wa kuyafanya hayo kabla ya kuolewa.
Binti aliyeleleta ktk misingi ya maadili mema hathubutu kuyafanya hayo.
Anaweza akafanya yote hayo lakin Anawapanga Wanaume kwa Folen. Ikifika Folen yako unapata huduma safi then kwa mwenzio vivyo hivyo.
Usituchezee sisi
Nakubaliana na wewe,imani umteka mtu;kwahiyo ukitumia njia hiyo kumuaminisha mwenza wako ni sawa na kumbaka kiimani ili mambo ya kidunia asiyawaze.Wapo watu waliowaza hayo mpaka sasa wanajutia ndoa zao na wapo walitumainia katika Mungu wanaishi vizuri mnooo mkuu na ukiwa na Imani na Mungu basi Maisha yanakiwa Murua unakuwa na Amani ni furaha sana mkuu
hayo huwa yanatakiwa kufanywa na yule ambaye ushamvisha pete ya uchumba.Vitu hivi akivifanya mpenzi wako wa kike jua ni wife material:-
Haya,mnaotafuta wake kazi kwenu...
- Anapokuja kukutembelea anakuwa amevaa nguo za heshima
- Akija kwako anaweza kukuletea vitu vya kupika,vya kutafuna tafuna n.k
- Akija kwako atafanya kazi mbalimbali mfano kufua,kupiga deki,kuosha vyombo,kukupikia n.k
- Akipika chakula anakuandalia mezani na anakukaribisha ule.
- Kama atalala kwako,ataamka asubuhi na mapema na atafanya usafi,atapika chai,atakuandalia maji ya kuoga n.k
- Mkiwa katika maongezi kwa asilimia kubwa atakuwa anaongea mambo ya msingi kuhusu maisha yenu ya baadaye mfano watoto,maendeleo,biashara n.k
- Pia anakuwa ni mtu asiyependa kutumia fedha zako hovyo atajitahidi kubana matumizi.
- Kila unapomhitaji anaitikia wito wako
- Anaonyesha unyenyekevu anapokuwa na wewe