Sifa za kijinga

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
1. Kujisifia kuwa ushatembea na kila dizain ya dem na umebakisha wahindi wekundu
2. Kujisifia kuwa una uwezo wa kunywa kreti zima la bia
3. Kujisifia kuwa kwamba mpenzi wako amekufia ile mbayo na hawezi kukuacha hata ukimfanyia kosa gani
4. Kujisifia kupata kazi kwa rushwa
5. Kujisifia wewe una "degrees" lakini huna manufaa kwa jamii.
6. Kujisifia wewe ni mwanamuziki kumbe unaimba **** mtupu mwanzo mwisho
7. Kujisifia una pesa, then hujajenga hata kibanda cha matope, huijali familia yako, inateseka n.k
8. Kujisifia una akili then unafeli mitihani
9. Kujisifia mpenzi wako ni mzuri then unamsaliti
10. Kutongoza kwa kujisifia sifa za kijinga
11. Kujisifia hujawahi kuhonga kumbe wewe ndo namba 1
12. Kujisifia unafanya kazi *** kumbe mishen town
13. Kujisifia ulishawahi kumpiga mwalim wako (primary/secondary)-->yai viza
14. Kujisifia wewe ni bikra kumbe tigo ndo inaliwa kwa niaba...
.
.
.
.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom