Sifa za husband material

sasa hao mbona ni wanaume 16 tofauti mkuu?
 
Hahahaha nimetazama sifa zangu hapo nikaziona kama tano tuuu…. ! Yani kumpata mwenye sifa kama hizo huyo ni so called “dead body” hakuna mwanaume hai atakuwa na sifa zote hizo
 
Umekuja kumchamba mumeo hapa jf.
 
Inaonekana ndoa yako inatatizo na hayo uloandika ndiyo umeyakosa kwa mumeo.
Umeandika HUDUMA unazozimis kwa mumeo. Pole sana.
Hauwezi kuwa husbands bila sifa kuu
1.Mtafutaji
2.Kiongozi wa familia
3.Anayejali afya yake na ya familia.
Mengine ni mbwembwe tu, kama za tamthilia za kilorea.
 
Mimi tayari nishapita huko kwenye hizo maigizo zenu. Niko na 40+ nina familia tayari. Tu nyie mabinti wa siku hizi hapo ndio mnapofail ndio maana ndoa zenu hazidumu. Unaingia kuolewa lakini taget yako ni kumchuna huyo kijana,sio kuolewa. Nyie Hakuna tofauti na vibaka tu. Akiishiwa ndio mnaanza kutafuta mbadala pembeni. Ndio hapo mwisho wenu ni magunia matatu ya mkaa.mnawaingiza kwenye matatizo tu vijana kuishia jera.
 

Mume wangu Ana sifa hizo zote Ndio maana nikaona why not share with you guys mjifunze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…