Sifa za husband material

Eti "anakufanyia surprise very often"...


Ma tamthilia ya kituruki na kikorea yamewajaa vichwani.....

Mtaishia kupata "bongo movie"mkiendekeza hizo tamthilia

its funny hii post imefanya nione huyu mume nilienae sio hubby material kabisa duh,kumbe kuna wanaume TZ hii wana sifa zote hizo aloo
 
Ni mwanaume mpumbavu tu anaweza kuwa na sifa hizo zote. Na ni mwanamke mbinafsi tu na asiyejua kutafuta pesa atahitaji sifa zote hizo kwa mwanaume. Kaka zangu amkeni.

it seems hujawahi kupata mwanaume mwenye hizi sifa Ndio maana umepanick
Polee dear
Every women deserves to be loved and treated like a queen
Nakuombea umpatr sahihi ambae atabeba majukumu yake kama mume
 

Yaani kuanzia namba 6 kushuka chini uko kote nazikataa, isipokuwa 8,12 na 16
 

Nature haibadiliki mwanume Ndio anae hudumia familia
huwezi kuwa mume kama anakimbia majukumu yako

Na ww hufai kabisa kwa upuuzi ulioandika ww utashindwa hata kuihudumia familia hufai huwezi responsibility hujakamilika kama mwanaume ww nia aisha tu
Ukweli lazima nikwambie uchukie utukane ila ukweli umeupata
 

Una comment upuuzi na kujichekesha mwenyewe.

Aliyesema mwanaume akimbie majukumu nani ?? Ndio mazob@ wenyewe nyie hahaha
 
Vyote hivyo afanye kwa ajili yako tu?. Hivi kweli mwanaume kweli yupo kwa ajili ya kumtimizia mahitaji mwanamke tu?. Wewe mwanamke upo tu kibwege bwege unasubiri utekelezewe utitiri wote huo?. Maisha yenyewe haya?.

Hapo ndipo mnapowatisha vijana kuingia kwenye ndoa. Hakika kwa mtindo huo mtazalishwa sana mubaki single mother milele,ksbb huwezi kubaki milele ukisubiri huyo mtu bila kumegwa. NARUDIA TENA MTAZALISHWA SANA MUBAKI SINGLE MOTHER, WAOAJI HAWAPO. Kenge nyie
 

naona imekuingia mpaka kwenye moyo ndo maana umepanick
MWANAUME WA KWELI NI YULE ANAHUDUMIA FAMILIA YAKE NA MPENZI WAKE .
Nyie Ndio wanaume wa kukaa mbali kabisa na nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…