Sifa za husband material

Eti "anakufanyia surprise very often"...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Ma tamthilia ya kituruki na kikorea yamewajaa vichwani.....

Mtaishia kupata "bongo movie"mkiendekeza hizo tamthilia πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ili nilidada linalovaa ndala za Manyoya. Linatumia robo tatu siku kuangalia tamthilia.
 
Ni mwanaume mpumbavu tu anaweza kuwa na sifa hizo zote. Na ni mwanamke mbinafsi tu na asiyejua kutafuta pesa atahitaji sifa zote hizo kwa mwanaume. Kaka zangu amkeni.
Eddera hii ni mara 5 sasa najaribu Pm yako lakini hainguki.
Nina amini wewe ndiye Yule ajae.
 
Blah blah blah
Ikifika muda Mwanamke anakuwa kiziwi, bunju, kipofu Kwa yote uliyoyaandika hapo..
 
Kifupi hapa linahitajika boya flani hivi amazing...yaani jing'ombe flani hivi lisilo na mapembe

Domo zege ultra pro max
 
Hakunaga hilo neno "husband material" in the first place..acheni kujipa moyo enyi feminist
 
Mod watu wenye visa vyao wakireport hata hawafatilii wala hawasomi comment wao wanatoa ban tu!!! Wamenikosea sana sijapentraaa kabisaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Moderator ile ban haikuwa fair nakata rufaa
Fanya nawe uwe na mchuchu modi udugu haiwesekani huu uonefu kila siku! πŸ€“!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…