Sifa za husband material

 
Hivyo vyote unaweza pata kwa mwanaume mmoja ila tatizo nyie mnatoa nini zaidi mnaishia kuwaumiza na wanaamua kuwa mabedui. Ndio maana tukaamua kila mmoja awe na sifa moja wapo hapo ili msituchanganyie mafaili

[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimegundua humu wanaume wengi wana trauma na wale experience wanawake matapeli
Jamani kuna wanawake ambao sio matapeli
Kuwa na Imani kwanza then utawaona
 
17.pia HAYUPOπŸ˜‚
 
Naona suala la kukojozwa hujaliweka kwakuwa mkata majani ya ng'ombe atamaliza hiyo shida!
 
Ata na sisi wanawake siku hizi tunawakimbilia nchi za nje tumewachaa nyie wanaume mnaowadangia wanawake na wake za watu maana siku hizi nyie wanaume hamuwezi kufanya kazi mbasubiri kuolewa [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
Vitamu kula wenzio acha uchoyo we mtoto
 
Hii thread ni ya kutupanga wanaume tuwe mazwazwa ili wanawake wawe wanatutawala KIKONDOO. Katika jina la yeye aliyeniumba Alpha Male nasemaje, MMENIKOSAAA[emoji3]
 
Huyo atakuwa malaika material....
 
6, 7, 10, 11 na 13

Mwanaume akifanya hayo.

Huku kimbiji huwa wamama watu wazima wanasema.

Kalishwa mavi na mke wake.
 
πŸ˜‚
Mwanaume ukimuuliza
Atasema
1 anipende
2 aniheshimu
3 awe na chura (optional)
4 awe mweupe (optional)

Sidhani kama kuna itakayokuja nyingine aisee au kuna mwanaume ana nyingine?πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hivyo utavipata kwa wanaume si chini ya 10 tofauti bora kadange tu maana haitakuwa na utofauti mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…