Sifa ya dakika moja yaweza kufanya maajabu

hadithi zako Mtambuzi yani full mafundisho , siku moja moja uwe unachekesha
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi!
niliwahi kusema siku moja hapa nafikir nikiwa memba mpya mpya tu nilituma thread kuhusu kupongezwa!
mimi hakuna kitu nakivalue katika kuishi na watu,kufundisha,kulea,marafiki ,ukweni,sijui ndugu wafanyakazi walio chini yangu,walio juu yangu!
kama neno AHSANTE NA HONGERA!
mimi mwenyeqw najua ninavyojisikia nikiambiwa maneno haya!
kiukweli haya maneno ni amfupi sana lakini yanabadilisha sana maisha ya watu!
niliwahi kufundisha kijana mmoja hivi bahati mbaya nilimwanzia akiwa madarasa ya juu,katika kusoma kwake yeye ameozoea kukemewa tu,kiala jina lake likitajwa linahusiswa na vurugu!
kiasi akaliassociate jiana lake na ukorofi!
nilippokabidhiwa lile darsa nikaambia kabisa unamwona yule,mtoto nunda yule korofi liel toto we ukilikuta kwenye makosa tandika tu!
basi niliamua sijui ndo ile pacha wangu SnowBall anaita banefit of doubts mi nilimpa tu nafasi yule kijana!nikawa kila nikimtaja namtaja aje afute ubao,au aniletee vitabu darasani,au aniletee maji dukani!au nampa swali ambalo najua tu atajibu vizuri!basi ilienda hiyo kwa miezi kama miwili kwa kuwa nilikuwa nafanya study kupitia yeye yule kijaana alibadilika na akawa one among the best katika somo langu!
leo hii ni mkaka mkuwa tu kamaliza chuo,kuna siku alikuja ofisini kwangu ameniletea kitenge akaniambia mwalimu katika maisha yangu sikuwahi kuambiwa kuwa naweza si nyumbani wala shuleni lakini ulinitreat katika namna ambayo nilijiona naweza na sasa hakuna mtu anaweza kuniambia siwezi!
so huo ni mfano mmja tu lakini nina mifano mingi sana juu ya theory hii!
AHSANTE SANA shemeji!we unajua vile navoheshimu haya makitu yako!BIG UP!
 
Last edited by a moderator:
ASANTE SANA MWALIMU...mimi ndiyo huyo kijana nilokuletea kitenge cha msumbiji!

Mtambuzi nakupa tuzo binafsi ya utaalam mkuu ktk kufundisha na kuelemisha jamii kwa mwaka huu 2012!!! Kuna mafunzo mazuri kwenye thread zao kwa ujumla pamoja na hii ya leo ...
 
Last edited by a moderator:
Huyo Popii nadhani tuna undugu manake haoni jema kwa hawa mabosi aiseeeee! Ila mimi hata masaa/siku/mwaka hayatoshi kunibadili mrengo wangu wa kushoto!

Life is unfair as it is!!!!! Kwanini wao wawe mabosi na sie tuwe chini yao? Ukishirikiana nao ndo unzidi kuwafanya mabosi afu wewe unazidi kuwa kidampa tu!

Marufuku urafiki wa mabosi na vidampa vyao!!!!!!!! Ukiwa kidampa hutakiwi kumrahisishia bosi kazi, analipwa hele mara 5 yako ili kutatua ugumu utakaojitokeza! So inabidi kuhakikisha Ugumu Unajitokeza mara zote ili hela anayopokea iwe halali! Baaaaaaass!

JST PUTTING THEIR MANAGERIAL ABILITIES AT TEST!!!!!!!!

ngoja na mimi nikusifie yawezekana na mimi nikabadilisha maisha yako...
"NI KWELI UNACHOKISEMA NA MAWAZO YAKO YAMESIMAMIA KATIKA UKWELI, KWANI WATU WEENGI HUWA HAWAONI HILI LA UBOSI NA UKIDAMPA ILA WEWE ANGALAU UMELIONA...BIG UP SANA MAMIII...ENDELEA KUWA NA MAWAZO MAPANA NAMNA HII.. TUNAHITAJI WATU WENYE MAWAZO KAMA HAYA"
 
ASANTE SANA MWALIMU...mimi ndiyo huyo kijana nilokuletea kitenge cha msumbiji!

ahahahahhahahhahhahahha !karibu sana mwanafunzi wangu!
WEWE NI WA THAMANI SANA!na THAMANI HII IPO NDANI YAKO!
 
Mtambuzi uliloongea ndilo NENO la MUUMBA.............Psalms 50:23

"He who offers praise glorifies Me, and he who orders his conduct alright I shall show the salvation of God."

kwa hiyo hapo ndipo utamu ulipo......aligning yourself with the WORD of the Almighty GOD always the pay off is huge........
 
me cjawahi kukutana na sampo hizo lara, pole mwaya , na kazi ya mwenzio huwezi kujifunga kama kuna sehemu unauhakika kuna maslahi zaidi bt hata ukihama mabosi kibao kaa ukijua mwisho wa cku kama employee ni employee tu hyake salary n not profit so kidogokidogo ukishawaibia unaanzisha cha kukupa profit cc tuje utupe salary
 
Hahahaaaaaaaaa! Hapo ndo unapokosea! Employeee wote si sawa!!!!!! Ndo unakuta mtu kakuzidi elimu, experience, devotion kila kitu ila unamzidi mshahara mbali sananaaaaaaaa! Employee kuna aina mbili Dekadeka UNTD/ YES BOSS na wale LIBERAL/Boss cheo tu hata mimi nakitaka.

Sasa utashangaa unafanya kazi tembo malipo sisimizi! Afu waajiri wajanja wana devide n rule! Mtu mtata kama mie nikileta fyoko kidogo tu wananipooza, ila yes boss utamaliza soli za viatu tu! Ikibidi Najilipa mwenyewe legaly na illegally! Siko tayari kupoteza ujana wangu kutumikia watu watajirike mie nimekaa tu napaka rangi majogooo! Hapa wamenipiga pini kwa desk bt i still make the impossible happen!

Bottom line ni kuwa if you want smthn extra you have to figure out a way to outperform others! Hapo ndo challange iilipo! You gotta make them bosses believe you are special/Unique! That starts with a NO BOSS!!!

Kuhama mimi sio kumkimbia boss, coz boss anaweza kucontrol crew from the outside, i control it from the inside!!!! Kama hiyo challange yake ya kuongeza performance kwa TV na Fridge! I jst figured a way tunachukua zawadi bila kuongeza performance!!!! There is always a way! So nikihama ujue Nimejisikia! coz natabia ya kuwachoka watu plus kazi na kupenda kubadili mazingira!
 
lara 1, ahsante kwa changamoto, huwa sichoki kusoma comments zako kila uchangiapo threads humu jamvini.
Kuna uzi nauandaa kuhusu upande wa pili wa shilngi wa kile unachokiamini, itatusaidia kujua faida na hasara zake, kwani kila jambo lina pende mbili kwa hiyo ni hiyari ya mtu kuchagua achukue upande gani lakini ni vyema akijua yale atakayo kabiliana nayo..............

Tupo Pamoja Bibie
 
Last edited by a moderator:
Huyo Popii nadhani tuna undugu manake haoni jema kwa hawa mabosi aiseeeee! Ila mimi hata masaa/siku/mwaka hayatoshi kunibadili mrengo wangu wa kushoto!

Life is unfair as it is!!!!! Kwanini wao wawe mabosi na sie tuwe chini yao? Ukishirikiana nao ndo unzidi kuwafanya mabosi afu wewe unazidi kuwa kidampa tu!

Marufuku urafiki wa mabosi na vidampa vyao!!!!!!!! Ukiwa kidampa hutakiwi kumrahisishia bosi kazi, analipwa hele mara 5 yako ili kutatua ugumu utakaojitokeza! So inabidi kuhakikisha Ugumu Unajitokeza mara zote ili hela anayopokea iwe halali! Baaaaaaass!

JST PUTTING THEIR MANAGERIAL ABILITIES AT TEST!!!!!!!!

ha ha haa,,,hamia biasharani lara 1..kazi hazikufai...kwa hii attitude promotion utasubiri vibaya...

kazini (hasa bongo) kuna rule moja tu...kiss some asses to have yours kissed.,,baas!!
 
Last edited by a moderator:
ha ha haa,,,hamia biasharani lara 1..kazi hazikufai...kwa hii attitude promotion utasubiri vibaya...

kazini (hasa bongo) kuna rule moja tu...kiss some asses to have yours kissed.,,baas!!

Hahahaaaaaaaaa! Dont get me wrong i do kiss some asses too, n pull them strings but i must get out somethin for the extra efforts! The marginal utility for me to kiss some asses must exceed the marginal value of my benefits!!!!!!

What im sayin is kiss some asses if you will benefit more than boss!!!!!!

Concerning promotion i dont like to be promoted coz it means less field trips, more time on the desk n more paper less money!!!!!!!

I kind like to be employed coz i get to do less work, more pay, more stealing, more mind games, more challange! With business you gotta be legit, pray hard! rely on karma n luck, work your ass more, sounds less fun!
 
Hilo kweli Anko hata Mke akipika chakula kitamu nae asifiwe ili aongeze mapishi..

mi kuna siku nilisifia chakula kumbe siku hiyo kapika house girl cha moto nilikiona

Mkuu Mtambuzi ni kweli hasa sisi wazazi nahawa watoto wetu wanaokua na wanaosoma ni muhimu sana kuwapa pongezi wanapofanya vyema na wanapoharibu pia kuwakaripia la sivyo tutadumaza
 
ahahahahhahahhahhahahha !karibu sana mwanafunzi wangu!
WEWE NI WA THAMANI SANA!na THAMANI HII IPO NDANI YAKO!

hahahah thamani yake hasa anapolipa ada na tuisheni kwa wakati, na kukusaidia kuuza ice creem
mwalimuuuuuuuuuuuuu!!!
 
mmh kweli jamani mpe mtu sifa stahiki sio kuchakachua tu,utakuta mtu kaboronga lakini kwa vile wanajuana chini ya pazia basi sifa kibao wakati wenzangu na mie wanatoa mijasho lakini wapi hata hela ya soda hakuna haki ya mtume nitategea kazi kwa kwenda mbele.
 
lara 1 Leo umenimaliza kabsia hadi huku ofisini wameniuliza kunani tena daah kila nikisoma comment yako sina mbavu zangu mie daa hii wewe mkali ila kwa upande mwingine kubali changes kwa sababu haitawezekana kila mmoja akawa bosi real thnx you made my day.
 
Back
Top Bottom